Men are cruel to single women

Men are cruel to single women

Pole sana kwa situation hiyo lakini usikate tamaa ni wakati tu haujafika, wewe ni mzuri na amini hivyo yupo mtu ambae ni perfect kwako na muda wako ukifika utakutana nae.
Hakuna kuwahi wala kuchelewa kwenye ndoa
 
unachosema ni kweli.. ila kwa upande mwingine wanawake tuna tatizo la kutijiamini hasa unapokuwa single mama halafu anakuja kaka mzuri mtu anajielewa direct akili yako ina waza huyu kaja kunichezea na kusepa..... nina marafiki wapo single mama huwa nawaambia mwanaume akija kwako ondoa mawazo hasi waza positive kuwa wewe usifanye saaana kumvutia ,.. fanya yaliyo ndani ya uwezo wako, furahia muda uliopo unaokuja hujui.... mapenzi yanapoanza huwa too hot tumia muda huo kujuana japo ni ngumu............. kiukweli kuna wanume wanawachukulia vibaya single mama ila ni wa kuignore.. chukulia mfano kidogo mtu akiwa anakutania ukimind ujue ule utani utaendelea ila ukipuuzia ndiyo mwisho wa utani .........

jiamini inatosha
 
The way I love maself I have never felt that men are cruel to me. Mind you I work in a male dominated industry and I'm single too. What I hate is most women are so weak and childish will cry over a silly issue. A woman should be confident know your worth and no one will abuse you.
 
Currently where are you living?
And are you ready to shift from where you are to follow the guy in any region around tz?

your suggestion sounds like a command, sir
It would sound more appropriate if you had used a convincing language.
 
Realy really to day you neiled the finger ,hopefully I know you physically they way its written as if you my X,but if not you its the same story ,but Let me Analysize your weakness you single mom or 29 _39 girl with education ,
1; You have no confidence, this when its comes the men seduces you,coz of your age,may be coz your short,
2 You don't know your weaknesses may be too rude, hash,and over related in societies,
4 your Very angry when happen you guy made mistake ,forgetting that all we are human being
5 Yule wa kwangu au ndo wewe Wengi ni Wasiri sana na kujiona wao hawawezi kuolewa sana
5 Talk to him very serious and act as Delila,to him,I think ulivyoandika Leo if that words its directed to the right Guy ,hope that angesamehe, na akasuburi changes zako ,My self nimeguswa coz I did so to my lovely X ,Kama ni wewe Just know hukuniambia kama ulivyoandika Leo ningesamehe tu,No men is such cruel
 
Single morther alibahatika kuolewa.
2.alikuwa na mtoto wa miaka 3
3.mtoto akaugua
4.baba mzazi wa mtoto akajulishwa aje hospitali
5.kufika hospitali akakuta mtoto karuhusiwa kurudi nyumbani
6.ikabidi baba mtoto awafuate nyumbani kumuona mwanae
7.nyumbani ni uswazi chumba kimoja
8.baba wa mtoto kufika nyumbani ni muda wa msosi
9.baba mzazi wa mtoto akakaribishwa
10.matonge mawili matatu,mwenye nyumba (mume mwenzake) anaingia.
11.Very humiliating..nyie singo maza yaani ni ma maza fantaa kapsa kapsa
 
5 Talk to him very serious and act as Delila,to him,I think ulivyoandika Leo if that words its directed to the right Guy ,hope that angesamehe, na akasuburi changes zako ,My self nimeguswa coz I did so to my lovely X ,Kama ni wewe Just know hukuniambia kama ulivyoandika Leo ningesamehe tu,No men is suc

Uyui HB: kwa kuendeleza hoja zako (nimenukuu chache tu hapo juu) maswali yafuatayo yanawagusa kina mama wote!

1) What is that makes a man fall in love with a woman at first sight? Appearance, Aura, Wealth?

2) Falling in love with a man, what takes a woman to keep that love lasting? Behaviour? Love making? Trust? Upkeep?

THINK ABOUT THOSE QUESTIONS HONESTLY, TO DEFEAT SINGLELINESS.
 
Uko sahihi wengi hawajui kuolewa nini? Et wengine Wanafanya tu ili warushe Fb basi ,Nilishangazwa sana na huyo ambae x wangu Just Pete tu uchumba Akaiweka FB ,Insta Every where,, Nakiaendelea kumhurumia sana Leo 5 years Pete imefubaaaa mbaya ,Yupo tu anazidi kuwa Mkorofi tu every relation anavunja
 
Maisha ya ndoa bahati mbaya hayana "formula" na wengi, hasa kina dada, kama ulivyosema, hufanya hivyo (kuolewa) kuepuka kuwa "single".

Labda waje humu jamvini (Freema, Miss Chagga/ Natafuta/ Neddy, LadyRed, atoto, Theodora, na wengineo) waseme kwa nini waolewe na wasibaki "single" ili wasinung'unike kama mwenzao 'Sonnet'.

Pia wajibu maswali yangu ya awali.
 
Realy really to day you neiled the finger ,hopefully I know you physically they way its written as if you my X,but if not you its the same story ,but Let me Analysize your weakness you single mom or 29 _39 girl with education ,
1; You have no confidence, this when its comes the men seduces you,coz of your age,may be coz your short,
2 You don't know your weaknesses may be too rude, hash,and over related in societies,
4 your Very angry when happen you guy made mistake ,forgetting that all we are human being
5 Yule wa kwangu au ndo wewe Wengi ni Wasiri sana na kujiona wao hawawezi kuolewa sana
5 Talk to him very serious and act as Delila,to him,I think ulivyoandika Leo if that words its directed to the right Guy ,hope that angesamehe, na akasuburi changes zako ,My self nimeguswa coz I did so to my lovely X ,Kama ni wewe Just know hukuniambia kama ulivyoandika Leo ningesamehe tu,No men is such cruel

Im not your ex.
 
Kwa Lugha Uliyoandikia Just Go To America,UK,Or Canada Or Australia Na Utapata Bwana. Kibongobongo Wacha Tukuogope
 
Mi sijaelewa hata ulichoandika ila nahisi tu mchango wangu ni kwamba tatizo utakua umesoma sana na umesahau humu tupo walalahoi tu ambao tumeishia la saba. Kwa kiingereza hiki utakua single milele.
 
Lady, the world isn't fair.
And at this side of the world most of men are cruel. It is not because you are single, even if you are married you might face that. Again you may experience the same kind of intimadation from women. That is how the world works.

Learn to rule your world to be happy.

About marriage, being perfect is not a credit. Being yourself is credit. Don't live to impress everybody.

As of what you said you are, I might be less than a half. A bunch of men mentioned before my face that they could not marry me of the fact that (in their words, "mbishi sana, sijakaa kike, naringa, much know mchafu, hata weza kuspend na mimi, nazunguka na wanaume tu). At the same time i attracted many and of course i have so many close male friends than females. To stamp on that I am married to a man who was attracted to see a lady who is confident and conversant among men.

My little secret compare as a lady who stand in middle of men, I have never tried to be like men. I enjoy being woman and yes a strong woman. Be yourself. No body is perfect. Improve your weakness to make a better you rather than impressing humans. Be picky because everybody choose.
Wema ndo unaotafutwa jitahidi uwe mwema.

Duh,aisee umeponea sana kumpata huyo kaka....

Aisee mshukuru sana,please do that...
 
Realy really to day you neiled the finger ,hopefully I know you physically they way its written as if you my X,but if not you its the same story ,but Let me Analysize your weakness you single mom or 29 _39 girl with education ,
1; You have no confidence, this when its comes the men seduces you,coz of your age,may be coz your short,
2 You don't know your weaknesses may be too rude, hash,and over related in societies,
4 your Very angry when happen you guy made mistake ,forgetting that all we are human being
5 Yule wa kwangu au ndo wewe Wengi ni Wasiri sana na kujiona wao hawawezi kuolewa sana
5 Talk to him very serious and act as Delila,to him,I think ulivyoandika Leo if that words its directed to the right Guy ,hope that angesamehe, na akasuburi changes zako ,My self nimeguswa coz I did so to my lovely X ,Kama ni wewe Just know hukuniambia kama ulivyoandika Leo ningesamehe tu,No men is such cruel

Jeeezuzzzz
 
Single morther alibahatika kuolewa.
2.alikuwa na mtoto wa miaka 3
3.mtoto akaugua
4.baba mzazi wa mtoto akajulishwa aje hospitali
5.kufika hospitali akakuta mtoto karuhusiwa kurudi nyumbani
6.ikabidi baba mtoto awafuate nyumbani kumuona mwanae
7.nyumbani ni uswazi chumba kimoja
8.baba wa mtoto kufika nyumbani ni muda wa msosi
9.baba mzazi wa mtoto akakaribishwa
10.matonge mawili matatu,mwenye nyumba (mume mwenzake) anaingia.
11.Very humiliating..nyie singo maza yaani ni ma maza fantaa kapsa kapsa

Aisee....single maza ni wa kukaa nao mbali mno....im sorry
 
Maisha ya ndoa bahati mbaya hayana "formula" na wengi, hasa kina dada, kama ulivyosema, hufanya hivyo (kuolewa) kuepuka kuwa "single".

Labda waje humu jamvini (Freema, Miss Chagga/ Natafuta/ Neddy, LadyRed, atoto, Theodora, na wengineo) waseme kwa nini waolewe na wasibaki "single" ili wasinung'unike kama mwenzao 'Sonnet'.

Pia wajibu maswali yangu ya awali.
Kwanini niolewe?
Okey kwanza ni sheria kidini.
Mungu alipomuumba Adamu alimuona hajakamilika na yu mpweke hivyo akamuumbia wa kufanana nae.
Hivyo basi tupo kukamilishana, it means bila each other hatujakamilika.

Ni kweli kuna hali fulani unaihisi unapokuwa haujaolewa/haujaoa inaitwa upweke. Hapo sizungumzii uzinzi.

Kwanini sijaolewa??? Thats a million dollar question
 
mi napita tu.. ila ushauri wangu usijiwekee class sana..
 
Kwanini niolewe?
Okey kwanza ni sheria kidini....

Ni kweli kuna hali fulani unaihisi unapokuwa haujaolewa/haujaoa inaitwa upweke. ...

Kwanini sijaolewa??? Thats a million dollar question...

atoto: asante kwa kuwa mkweli.

Ni kweli kuolewa ni suala la kidini, kwa wanaoamini uumbaji. Mola aliumba wawili wawili.
1) Inakuaje au nini kinatokea mwanamke anaamua kuwa "single"?

2) Yapaswa mwanamke afanye nini kutunza penzi lake la kwanza?

3) atoto hujaolewa 'is a million dollar question' umeandika, swali la (2) hapo juu kugusa

3) Nani wa kulaumiwa mwanamke kuendelea kuwa single, aliuliza Sonnet!

Sonnet unanisoma!
 
Back
Top Bottom