The different types of women

Hivi kuna wanaume wamesoma hiyo thread apo? kama wewe umeisoma umejisumbua tu!! ni women hao hata ukisoma hawako hivo alaf bado unaeza usiwaelewe then hata icho kidogo ulichokielewa kinaeza kisikusaidie!! Mimi nilivoona heading tu nikaamua nije ni comment huku kwamba "NI WALE WALE TU".
 
Kwani kuna mwaliko eroo?
 
Thread ya KUFUNGIA mwaka.
Hatimaye kamusi ya kuwaelewa WANAWAKE imepatikana,

JF NOMAAA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom