real 1
Member
- Sep 17, 2016
- 58
- 66
daaaahhh!! respect you girls. Na mimi kuanzia leo hata sijisumbui hata kuwaelewa kwa sabab siku hizi hawataki hela hela tu peke yake! wanataka na vitu vingine ambavyo hata wenyewe ukiwauliza hawavijui.Eeeeeehhh Mungu baba embu naomb wapunguze kidogo kwa maana huku duniani wenyewe ndio wako wengi kuliko sisi halafu wengi kwenye hao wengi wao ni zero brain sasa!!! very very very very bad....