Recent content by Rayz of Diamond

 1. Rayz of Diamond

  Josephat Isango, Mhariri wa Habari Tanzania Daima akamatwa na Polisi

  KUTOKA FACEBOOK: Edson Kamukara Tupo hapa central polisi mwandishi wetu Josephat Isango kakamatwa leo asubuhi ofisini,polisi wa makao makuu wanasema wanataka kufanya naye mahojiano ingawa hatujui ni kwa kosa gani maana kosa la gazeti haiwezekani akamatwe mwandishi,kwa sasa wamekwenda...
 2. Rayz of Diamond

  Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

  Kama wanavyoonekana wakiwa Dodoma na uongozi wa juu wa CCM
 3. Rayz of Diamond

  Juliana Shonza: Mimi bado ni Makamu Mwenyekiti BAVICHA...!

  KUTOKA KWENYE MTANDAO WA MABADILIKO JUU YA 'UTATA' WA MAJINA YA HECHE: From: heche suguta <hechesuguta29@yahoo.com> To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com> Sent: Wednesday, January 16, 2013 11:40 AM Subject: Re: [Mabadiliko] UTATA WA JINA LA JOHN...
 4. Rayz of Diamond

  OMARI OMARI afariki dunia

  Moja ya Maneno yake katika Wimbo wa KUPATA MAJALIWA "..kwa Mungu hauna hisa ila umetunukiwa, nduguyo kuninyanyasa ukae ukielewa hautozikwa na pesa au gari ulilonunua, hizo nyumba za kisasa wapo watakaochukua.." R. I. P OMARY OMARY
 5. Rayz of Diamond

  Chezea Jeshi wewe?? Jeshi lipo imara bhana!!

  Mwingine huyu ndani ya Usafiri wa umma!!!!
 6. Rayz of Diamond

  Samahani naomba kuuliza jamani..

  Aaaah mjadala nimeupenda, naamini ya msingi yataelezwa kutoka katika pande zote mbili.
 7. Rayz of Diamond

  Barack Obama - Rare Pictures

  Daaaah safi Mkuu kwa Picha za Obama
 8. Rayz of Diamond

  Matokeo KIKWETE 2395 MANGULA 2397 DR SHEIN 2397 (ushindi 100%)

  JK ana kura za hapana 2, kwa hiyo hajashinda kwa 100%, ni 99.2 %
 9. Rayz of Diamond

  vyuo vitano bora vilivyootoa watu mashuhuri na viongozi tanzaniaa

  Huyo Mhandisi Stella Manyanya zaidi ya kuwa Mbunge wa Viti maalum CCM na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, je Manyanya ni Naibu Waziri wa wapi!! Zimbabwe kwa Mulugo?
 10. Rayz of Diamond

  RIP Baba Salutaris Massawe

  Huyo ndiye Father Salutaris Massawe.. Binafsi nimesoma nae B.A Mass Communication Saint Augustine University of Tanzania SAUT Mwanza Campus 2005/2008. R. I. P Baba..
 11. Rayz of Diamond

  Master j, madam rita na salama siku za kuaibishwa na kulia zaja

  Binafsi niliangalia Shindano hilo kwa Miaka Miwili ya kwanza tu halafu nikaachana nalo baada ya kutoridhishwa na uendeshwaji wake (wakati bado ninalifuatilia Shindano hilo nilikuwa pia nawapigia Kura Washiriki niliokuwa nikiona wanafanya vizuri). Waacheni waendelee kufurahisha nafsi zao huku...
 12. Rayz of Diamond

  JKT oljoro:mwanga mpya kwa soka la arusha

  Acha kuishi ki-Sheikh Yahaya Wewe...
 13. Rayz of Diamond

  Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

  Wewe nakufananisha na Rafiki yangu Mmoja wa utotoni ambaye anaitwa MATA na kuna Siku alinikera kweli nikaamua kumkomoa niliponunua KONI na kuanza kumringishia kwa mbali aje aichukue: "MATA KONI YAAKO NJOO UCHUKUE!!!" USHAURI WA BURE TU KAMA D KNOB: "ELIMU MITAANI DOT COM MNAIONAJE UUUUAAAA!"
Top Bottom