JKT oljoro:mwanga mpya kwa soka la arusha

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,056
1,250
kama ilivyotarajiwa timu ya Jkt oljoro imekuwa kivutio kwa wapenda soka wa arusha na Tanzania kwa ujumla,matarajio ya wengi ni kwamba JKT oljoro watarudisha heshima ya arusha katika soka.yanga na simba wasitegemee kununua mechi kutoka kwa vijana wenye nidhamu ya jeshini.kila la kheri vijana wa Jkt katika kuelekea kushika usukani wa ligi ya bara.
 
Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,229
2,000
nilisema tangu mwanzo wa lingi kuwa Oljoro JKT ni timu nzuri sana na nikatoa angalizo kama wataacha mpira wa kihuni watatisha soka la bongo...
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,763
2,000
nadhani watakuwa juu pindi viongozi wao wakiwa hawana usimba na uyanga wakiingiza tu hiyo damu mpira wao na timu kwa ujumla tutaiskia tu kwenye bomba..
 
kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,056
1,250
naamini nidhamu ya jeshi itatawala!!AFC ilichakachuliwa sana yaani viongozi wa TFF arusha ni mashabiki wanazi wa simba na yanga halafu mbaya zaidi wako hoi kifedha!
 
mwacheni77

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
763
225
kama ilivyote
arajiwa timu ya Jkt oljoro imekuwa kivutio kwa wapenda soka wa arusha na Tanzania kwa ujumla,matarajio ya wengi ni kwamba JKT oljoro watarudisha heshima ya arusha katika soka.yanga na simba wasitegemee kununua mechi kutoka kwa vijana wenye nidhamu ya jeshini.kila la kheri vijana wa Jkt katika kuelekea kushika usukani wa ligi ya bara.
Tunachotaka ss wapenzi wa mpira arusha wasishuke daraja ili tuone vpl,kuhusu simba na yanga hakuna jinsi ktk nchi yetu na kokote kule duniani watakuja watapotea simba na yanga zitabaki pale pale,italy inter na ac,spain barce na real madrid etc so huwezi pambana nao,inacheza simba na yanga tff inaingiza karibia bilion alafu unasema oljoro,mpira pesa ila tuombe oljoro ibaki tu
 
Oct 27, 2010
77
0
JKT Oljoro walipoanza Ligi hawakudhaniwa kama wangekuwa na moto huu walio nao sasa hivi, na nasikia morali ya Mpira waliyonayo sasa hivi ni baada ya kuhakikishiwa maisha na Mwajiri wao JKT akiwa amewatoa Vijana wengi katika Club ya Vipaji maaruf huko Arusha ya Lolingstone. Tutarajie mengi kutoka kwao katika Msimu huu. Binafsi naona AZAM FC na JKT OLJORO watafanya vizuri sana Msimu huu.
 
kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,056
1,250
leo vijana wa oljoro walicheza kwa kujihami zaidi lakini yote kwa yote nawapongeza kwa kujinyakulia points 3 muhimu!
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,763
2,000
JKT Oljoro walipoanza Ligi hawakudhaniwa kama wangekuwa na moto huu walio nao sasa hivi, na nasikia morali ya Mpira waliyonayo sasa hivi ni baada ya kuhakikishiwa maisha na Mwajiri wao JKT akiwa amewatoa Vijana wengi katika Club ya Vipaji maaruf huko Arusha ya Lolingstone. Tutarajie mengi kutoka kwao katika Msimu huu. Binafsi naona AZAM FC na JKT OLJORO watafanya vizuri sana Msimu huu.

hapo kwenye bold ndio penyewe..
 
Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
5,945
2,000
015.jpg vijana mashabiki wa JKT OLJORO wakihamasisha timu yao
 
Anselm

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
1,710
1,500
JKT Oljoro walipoanza Ligi hawakudhaniwa kama wangekuwa na moto huu walio nao sasa hivi, na nasikia morali ya Mpira waliyonayo sasa hivi ni baada ya kuhakikishiwa maisha na Mwajiri wao JKT akiwa amewatoa Vijana wengi katika Club ya Vipaji maaruf huko Arusha ya Lolingstone. Tutarajie mengi kutoka kwao katika Msimu huu. Binafsi naona AZAM FC na JKT OLJORO watafanya vizuri sana Msimu huu.

AZAM hii hii inayomilikiwa na yule Mwanachama na Mpenzi wa Simba? FORGET!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom