twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Hivi kuna uhusiano gani wa kisayansi ama wa kiimani muda ambapo adhana inalia na mmbwa nao wanabweka?Nimejiuliza maswali nimekosa majibu..Wenye ufahamu wanijuze..!
mkuu naomba unisamehe kama nimekukwaza ila nimefanya utafiti nimeona hivyo na ni mara zote.Sina nia yoyote mbaya nataka kufahamu tu..Kama una jibu nisaidie..Adhana ni mara tatu kwa siku, je ni zote inakuwa hivyo? Umeanzia mbali lakini huna nia njema. Ungeshangaa kwanini kwenu wote ni mashoga kuanzia babu yako? Ukipata jibu utujuze hapa.
mkuu unaweza kufunguka zaidi?Mbwa na kuku huwa hawapendi spirits
mkuu unaweza kufunguka zaidi?
kumbeeeNadhani anamaanisha wale waumini wasioonekana huwa wanakwenda masjid pale adhana inapopigwa. Ndo maana mbwa wanachachamaa kweli kweli, si unajua walioshushiwa aya kwanza kabisa wakaamini kabla ya wanadamu ni kina nani?
Adhana ni mara tano kwa siku, je ni zote inakuwa hivyo? Umeanzia mbali lakini huna nia njema. Ungeshangaa kwanini kwenu wote ni mashoga kuanzia babu yako? Ukipata jibu utujuze hapa.
Sijajuaga kitu hiyo
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hivi kuna uhusiano gani wa kisayansi ama wa kiimani muda ambapo adhana inalia na mmbwa nao wanabweka?Nimejiuliza maswali nimekosa majibu..Wenye ufahamu wanijuze..!
Adhana ni mara tano kwa siku, je ni zote inakuwa hivyo? Umeanzia mbali lakini huna nia njema. Ungeshangaa kwanini kwenu wote ni mashoga kuanzia babu yako? Ukipata jibu utujuze hapa.
maranyingi ni ile adhana ya alfajiri
Niliwahi kujibiwa hivi:- Nadhani mapepo na wachawi wanaonekana live wakikimbia na kutapatapa wasikiapo jina la mungu likitajwa, na ni wanyama pekee wenye uwezo huo wa kusikia na kuona.Hata wale wanaofanya kazi za kuchunga wanyama hasa maeneo ya makaburini hushuhudia na hushtushwa na vibweka vya wanyama kama mbuzi, ng'ombe, mbwa na kondoo kwenye maeneo hayo ya makaburini eti ni kwamba wanasikia na kushitushwa marehemu wakiadhibiwa kaburini.
Hizo ni imani ambazo sijawahi kusikia uthibitisho wake kiimani, kidini wala kisayansi.