Hayajamani
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 883
- 272
Poleni, Mola awape nguvu
JK ni Rais wa misiba ya Wasanii.
Anapenda kwenda kwenye majanga kama haya lakini kwenye matatizo mfano ya kuchomwa kwa makanisa na uharibufu wa mali, kujeruhiwa na mauaji ya watumishi wa Kanisa, hapo JK yupo kimya kabisa, na ikizingatiwa ni Waumini wenzie wanaotenda mambo hayo.
Ushauri kwa JK abadilke asifikiri kushiriki misiba ya wasanii ni kujidanganya kwa kujiweka akribu na vijana akijua kuwa atapendwa na vijana.
HATUDANGANYIIIIIIII.
Akitaka tumuelewe ashughulikie matatizo yanayogusa vijana mfano Ajira kwa vijana, vitendo vya unyanyasaji vya askari wa jiji na manispaa kuhusu Wamachinga, na kudhibiti mfumuko wa bei nchini.
Labda labda tutamuelewa!!!!!!!!!!!!!!!
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!!
Jk hakwenda kumjulia hali yule padri wa znz?
Jk hakwenda mbagala kwenyenuchomaji wa makanisa?
Sometimes tuwe tunafikiria vya kuongea wakuu tutakua lini?
hv mbona vijana tunakosa adabu kwa mheshimiwa,mbona kejeli, lugha za matusi na dharau au matusi mnayoyajua ninyi ni ya nguoni tu! angekuwa mzazi wako ungeandika hayo uliyoyaandika! heshima waungwana.
kuna haja ya kumention kuwa JK atahudhuria?
acha dhihaka
Mmmh, mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Yalipochomwa makanisa Mbagala alienda kutembelea makanisa yote yaliyochomwa na ndipo akatoa amri ya akina Ponda kukamatwa. Tafuta lingine mkuu. R.I.P Omar. Asante kwa ujumbe uliotuachia - kupata majaliwa.JK ni Rais wa misiba ya Wasanii.
Anapenda kwenda kwenye majanga kama haya lakini kwenye matatizo mfano ya kuchomwa kwa makanisa na uharibufu wa mali, kujeruhiwa na mauaji ya watumishi wa Kanisa, hapo JK yupo kimya kabisa, na ikizingatiwa ni Waumini wenzie wanaotenda mambo hayo.
Ushauri kwa JK abadilke asifikiri kushiriki misiba ya wasanii ni kujidanganya kwa kujiweka akribu na vijana akijua kuwa atapendwa na vijana.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!!
atakuwa yule aloimba "kazi yangu ya dukani inaniweka matatani". r.i.p omar. mia
View attachment 78606
R.I.P kamanda.
Aliyeimba kazi yangu ya dukani ni Dogo Mfaume, nyimbo zake ni maharufu ktk miaka ya 90 kama Kinyago msela (shamba langu), Baba Asha (Sungusungu hakulinda), Hereni, Upo wapi mama, na baadaye kuibuka tena miaka 2000 kwa kibao kupata ni Majaliwa.
atakuwa yule aloimba "kazi yangu ya dukani inaniweka matatani". r.i.p omar. mia[/QU mia mwenyewe mana toka umeijua hyo mia imekuwa tabu.we nawe mzaramo wa wapi hufahamu hata waimbaji wenu,huyo wa kaz ya dukan anaitwa dogo mfaume,alokufa anaitwa omari omari.
Raisi bila shaka anataarifa
yeah nikweli mkuu. kaimba ng'ombe amekosa ndevu lakini mbuzi kapewa, usinione mnyonge kupata ni majaliwa. Gobore kathibitisha kifo chake. mazishi yatafanyika leo pale kwa baba yake mikoroshini maeneo ya mwembe yanga temeke. ukifika pale kisumu bar ulizia tu utaelekezwa coz pale mwembe yanga ndo kijiwe chake cha nyumbani. R.I.P. Mia