Recent content by raju87

  1. raju87

    Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

    Umeona eeee mpaka kwenye kaz za watu binafsi mnaingiza siasa?chadema mmepotea njia kwa kwel
  2. raju87

    Sijawahi shuhudia TZ ikiwa stable kama leo hii!

    We inabid upimwe uwezo wako wa kupambanua mambo
  3. raju87

    Adaiwa kukojolea mashine ya ATM baada ya kukuta mshahara haujatoka

    Waswahili bhana,,,mtu haukumkuta asa unajuaje kama alkuta mshahara haujatoka? Au ndo ww mkuu
  4. raju87

    Shost yangu anamtaka, yeye ananitaka mimi

    Exactly mkuu,,hapo jamaa anapiga kule na hapo nae anataka ageme mnazi,,,,,,
  5. raju87

    Dodoma: Yaliyojiri kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Upinzan co uadui mzee,,mnakinzana kisera,kifikra na kimawazo tu na wala c wa makombora,,,,,nyie mlio chini kisera,kifikra ndo mnaleta uadui usiokuwa wa maan bila kujua kwamba unawaharibia watoto wako na wajukuu zako taifa lao
  6. raju87

    Kitendo cha Nyalandu kuhudhuria Kamati Kuu ya CHADEMA kinamaanisha ameshazawadiwa ujumbe wa KK?

    An ww ndo huna akili,,,,hatuumii ila tunawashangaa nyie mliemtuhum saiv mmempokea ka mfalme?kwel nmeamin chadema ni sikio la kufa ambalo halickii dawa
  7. raju87

    Bora kumwacha mtu kuliko kumuumiza

    Mbona hapo kamhurumia kabisa hajamchapa vzur?
  8. raju87

    Siombi Kazi tena kupitia JamiiForums

    Kwel kabisa an ukiweka thread kama hyo inapitwa tu lkn ngoja ije ya udaku wa kisiasa utakuta replay zaid ya 500,,,,achen hizo bhana
  9. raju87

    Mbunge wa CHADEMA na wanachama 38 wafungwa kamba za shingo na Polisi baada ya pingu kukosekana

    Tatizo lenu tushawazoea mkishindwa mnasingizia kura zmeibiwa,,,,achen mbwe mbwe nyie nenden kwa lowasa hko mkamsaidie kuchunga ng'ombe zake,,,,hyo ndo imebaki kaz yenu kushika dola labda mbadilke na mtushawishi vzur kwa sera zenye mashiko
  10. raju87

    Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Kwel kabisa ila atuajir bhana tumechoka kukaa mtaan
  11. raju87

    Vitanda vya zege kwenye gesti

    Inavijulia kwel inaonesha n mgegedaji mzur sana
  12. raju87

    Ndio maana zamani hakukuwa na tatizo la nguvu za kiume

    Naomba kuulza hasa hili tatizo lnatokana na nin?maan mwanzo mtu alkuwa fresh tu lkn baada ya muda ndo ivo jogoo anawika kwa kubip
  13. raju87

    Kama kila anayehamia CCM amenunuliwa, Lowassa, Sumaye na Nyalandu mliwanunua kwa bilioni ngapi?

    Ww ndo umeona ivo ila wenye uelewa tushamsoma,,,,,,kama kununua bas cdm watakuwa wamefilisika maan kila kwenye mkutano wa cdm utasikia tumepata wasajil wapya kama 400 toka ccm,,achen ushabik usio na maan yyte
Back
Top Bottom