Kitendo cha Nyalandu kuhudhuria Kamati Kuu ya CHADEMA kinamaanisha ameshazawadiwa ujumbe wa KK?

Siasa za Tz inahitaji uwe na akili ndogo kuzielewa otherwise usitake kuzielewa we una flow tu na upepo...
Ila ukitaka kuelewa kila kitu utabaki unaumia
No!hazieleweki,ni kama biblia kitabu kisicho na mtiririko wa aina yoyote. Ukisimama na mstari mmoja,wa pili unaukanusha..ukisoma paragraph unakuta mambo mengi yasiyohusiana,ukisoma sura nzima unapotea kabisa.
 
Mbona ya ccm waliingia hadi wakina Masha? Umeona hivyo tu au!!
American representative ndani ya CC ya CDM. Safi sana. Now, peoples Party wako karibu sana na Trump. Mtajua hapo baadae, nini kunafuata.
 
Mimi ni baba wa watoto wawili, wa kwanza yupo standard 3, sasa sijui kama kweli Mimi dogo au wewe!
Hongera sana kwa mafanikio ya kuwa na watoto. Lakini kubali wewe utaendelea kuwa dogo maana wa kwangu wawili wapo high school na mmoja grade 7.
 
No!hazieleweki,ni kama biblia kitabu kisicho na mtiririko wa aina yoyote. Ukisimama na mstari mmoja,wa pili unaukanusha..ukisoma paragraph unakuta mambo mengi yasiyohusiana,ukisoma sura nzima unapotea kabisa.
Yani sawa kabisa.
Kizuri huku kikifanyike kule kibaya, na kibaya kule kikija huku kizuri.
Leo anasifiwa kesho akihama anapondwa na leo anapondwa kesho akija anasifiwa.
Aisee ...
 
Mbona Mzee wa mihogo kateuliwa kuwa balozi hukushangaa?. Mwache Nyalandu ,haki ya kuchaguliwa popote anayo.
 
Igwe wanaJF!

Maajabu hayaishi, Chadema sikio la kufa. Ndugu Lazaro Nyalandu amehudhuria kikao cha kamati kuu ya Chadema. Ikumbukwe kikao cha KK hujadili mambo ya juu na ya siri kubwa. Hii ni dalili ya kuwa 'Kamanda' Nyalandu sasa kaingia kunako chungu.

Hongera Nyalandu kwa kuaminiwa mapema ndani ya Chadema.

Picha zinakujia muda mfupi.

eeda76755842d7bf3c5477c4d40f4d65.jpg
MWENYEKITI WA BARAZA LA VIJANA CHADEMA TAIFA PATROBAS KATAMBI AHAMIA CCM
katambii.jpeg

katambii.jpeg


Mwenyekiti wa baraza la Vijana Chadema (BAVICHA),Patrobas Katambi amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).Katambi ametangaza kujiondoa Chadema leo Jumanne Novemba 21,2017 katika mkutano wa halmashauri kuu ya CCM unaoendeshwa na mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli jijini Dar es salaam.

Katambi alikuwa mgombea ubunge jimbo la Shinyanga Mjini katika uchaguzi mkuu mwaka 2015 akikabiliana na Stephen Masele (CCM) ambaye aliibuka mshindi huku Katambi akidai kuibiwa kura katika uchaguzi huo.

Mbali na Katambi makada wengine wa CHADEMA wameamua kurudi CCM.
 
Masha, katambi, mwigamba na Nsando waliingia kwenye kikao cha CCM hapo ikulu kwasababu wana pesa na CCM mna njaa??
Subiri uone kama watalamba cheo.....lkn i bet nyalandu mtampa nafasi agombee umakamu wa raisi....kama mlimpa lowassa within hours akiwa hata hajui kusema peoples mtashindwaje kumpa cheo nyalandu...ndo maana nasema kwa kujiamin ...mna njaa...
 
Kosa Hapo Lipo Wap Ilihali Alisha Hama Chama Cha Mabavu
Ni kweli mkuu, chama cha mabavu kweli kweli:-
1. Bulembo alidhalilishwa kwa kuambiwa amkanye binti yake (mbunge) aache kumpa tamu mpinzani.
2. Shyrose Bhanji alikatwa bila maelezo jina lake.
3. Kinana alitumwa kutibiwa India siku 14. Mpaka leo mzee wa watu amekosa appetite na chama.
4. Michemba alikoswakoswa kunaswa kibao kwenye kikao cha baraza la mawaziri.
5. Msamabatavangu alivuliwa uanachama kwasabb tu alikuwa anapinga usulutani wa Ngosha ndabi ya chama.
6. Sophia Simba amepiga magoti kwa Ngosha akarudishiwa uanachama.

Chama cha mabavu oyooooo!!
 
Back
Top Bottom