Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

Mnasemaje kapotea? Huenda kaahidiwa donge nono na longer term contract. Pia kule yupo karibu kabisa na uDC. Sometimes kuna watu wanaweka fame pembeni na kujiangalia future yao.
Samahani naomba kukumbushwa Godwin Gindwe alitokea wapi vile kupata U-DC?
 
Acheni unafiki akienda huko inakupunguzia kitu gani kwenye familia yako. Mind your own bussiness mmekalia kujadili mambo ya watu badala ya kushughulikia mambo yenu
 
Unatoka FEZA school unaenda kufundisha Tandahimba Kayumba school eti kisa ni ajira ya uhakika !
Good but illogical example...Shule na Media Industry ni vitu viwili tofauti. Kuna faida kuwa mwalimu wa FEZA bila mshahara au mazingira mabovu ya kazi? Ajira ya Uhakika inakupa Amani ya Moyo na Utulivu wa Akili wa Kufanya mambo makubwa zaidi.Still namsapoti kwa maamuzi yake.
 
Acheni unafki Kila mtu anapofanya kazi anaangalia Maslahi yake binafsi pengine Huko Itv hakuwa na mkataba Wa kudumu. Watu mshaingiza siasa duh.......
Umeona eeee mpaka kwenye kaz za watu binafsi mnaingiza siasa?chadema mmepotea njia kwa kwel
 
Acheni unafki Kila mtu anapofanya kazi anaangalia Maslahi yake binafsi pengine Huko Itv hakuwa na mkataba Wa kudumu. Watu mshaingiza siasa duh.......
Na tetesi zinasema huko alikotoka wafanyakazi wanakaa hadi miaka saba bila ya kuajiriwa!
 
Back
Top Bottom