Vitanda vya zege kwenye gesti

Vitanda vya zege kwenye gesti

Mi nikikutana na hiyo kitu morogoro nilishangaa tu kitanda kama kaburi.
 
kitanda cha zege shuka turubai mto jiwe maji ya chumvi net nyavu, karibuni mtandamtitete guest house
 
Si mnavivunja kila siku kwa maufundi yenu! Sasa tumeamua kuweka zege ili tusipate hasara ya kununua vitanda kila siku. Nadhani umenipata Mkuu!
Tena zege haipigi makelele kama mninga
 
Ukimpata kama huyu bila vya zege itakuwaje?!
Madame b.jpg
 
Back
Top Bottom