Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

*SALAMU KUELEKEA 2019&2020*

CCM YATEST MITAMBO......

Katika kata 43 zilizorudia uchaguzi leo tarehe 26/11/2017 kwa matokeo ya mwaka 2015

CCM tulikuwa na kata 20
Chadema walikuwa na kata 20
CUF walikuwa na kata 2
ACT walikuwa na kata 1

Baada ya miaka miwili ya Mhe Rais Dkt Magufuli akiisimamia kwa weledi na kasi kubwa ilani ya uchaguzi ya CCM 2015-2020 watanzania wameamua kumtunuku zawadi kwa kuipa CCM ushindi wa kimbunga wa 93% kwa kupata kata 40/43 huku chadema wakipata 2 na CUF 1.

Hiki ni kipigo cha kikatili sana.....

Asante watanzania kwa kuamua kuiunga mkono CCM na kumuunga mkono Mhe Rais Dkt Magufuli kwa kazi nzuri anayotenda. Ushindi huu ni kielelezo kuwa mnafurahishwa na kazi inayofanyika na mna imani kubwa na mageuzi yaliyofanywa na CCM.

#CCM_MPYA_TANZANIA_MPYA
Dunia nzima tulikuwa tunLijua hilo,japo kidogo nmesikitishwa na hizo kata 3..... CcM mbele kwA mbele.
2020 uchaguzi unaishia kwenye kula za maoni ndani ya CcM watakaopitishwa na ccm tume (NEC) iwaatangazee nakuwaapisha kuwa wadhindi...
WATZ TUMUUNGE TUUNGE MKONO KUNABA MATUMIZI Za siyo ya lazima/YAKIPUMBAVU.

Hapa kazi tU.
 
Tunafahamu police ni zao na kuna watuvwakovtayari kwenda hata gerezani lakini walichokifsnya si haki

Wamefanya sahihi maana walichofanya leo kinaonyesha mwaka 2020 itakuwa mara elfu zaidi kwa maana hiyo kama wapinzani wakiamua kuingia kichwa kichwa bila tume huru ya uchaguzi amini usiamini wanaenda kufa maelfu kama si mamilioni.

Wengi wameshasema kwa mwendo huu hata kwenye kituo hawatafika
 
Leo ni msiba mkubwa.

Kwa CCM maana kw akipigo mlichopata hamuwezi kusimulia.KAwaulize waliofanya walichofanya halafu ndipo urudi hapa.

Mpaka sasa CCM0 Chadema 43.Take it from me,with HAKI na UHURU wa kufanya uchaguzi CCM hampati kitu
 
Wanye ccm yao wameona hali halisi jinsi wananchi walivyoichoka ccm na mwenyekiti wenu,endeleeni kutumia nguvu ya dola kwenye uchaguzi ila ipo siku yale yaliyotokea kwa mugabe yataitokea ccm
Hivi nyie watu mnaishi Tz ipi?? JPM anapendwa sana na watanzania, sana! Wengi yaani huwaelezi kitu dhidi ya JPM. Kwa kweli sijui takwimu zenu mnazichukuaga wapi, labda hapa JF. Hapa jf ni chimbo la bavicha, wanakaa kwenye kochi na kuandika mambo yao, sio watu wa field.
Kama hamtajitathmini vizuri 2020 mtapoteza majimbo ya ubunge mengi sana.
 
*SALAMU KUELEKEA 2019&2020*

CCM YATEST MITAMBO......

Katika kata 43 zilizorudia uchaguzi leo tarehe 26/11/2017 kwa matokeo ya mwaka 2015

CCM tulikuwa na kata 20
Chadema walikuwa na kata 20
CUF walikuwa na kata 2
ACT walikuwa na kata 1

Baada ya miaka miwili ya Mhe Rais Dkt Magufuli akiisimamia kwa weledi na kasi kubwa ilani ya uchaguzi ya CCM 2015-2020 watanzania wameamua kumtunuku zawadi kwa kuipa CCM ushindi wa kimbunga wa 93% kwa kupata kata 40/43 huku chadema wakipata 2 na CUF 1.

Hiki ni kipigo cha kikatili sana.....

Asante watanzania kwa kuamua kuiunga mkono CCM na kumuunga mkono Mhe Rais Dkt Magufuli kwa kazi nzuri anayotenda. Ushindi huu ni kielelezo kuwa mnafurahishwa na kazi inayofanyika na mna imani kubwa na mageuzi yaliyofanywa na CCM.

#CCM_MPYA_TANZANIA_MPYA
Dah...unavyomtaja Magufuli utafikiri ndo Mungu wako.....endelea kupambana mkuu...atakuona siku moja
 
Jifunzeni uhalisia uliopo badala ya kuendeshwa na mapenzi ya chama au kanda furani.uhalisia unaonyesha wazi vyama pinzani hawana cha kusema tena zaidi ya lawama zisizo na maana,utendaji wa dhati unaonekana wazi kwa chama kinachotawala nchi
Kwel kabisa ila atuajir bhana tumechoka kukaa mtaan
 
Sio mbaya kujifariji.

Wala sijifariji,nenda kamuulize Nape Nnauye atakwambia walichokifanya na walichoamabiwa na MWenyekiti wao wafanye ndipo utajua Chadema hamuiwezi hata mkimnunua Mbowe bado tutakuwa juu.Mtatumia Polisi na Jeshi na mnajua hamna ubavu wa kushinda kwa haki,hilo hata Mwenyekiti wenu anajua
 
Jifunzeni uhalisia uliopo badala ya kuendeshwa na mapenzi ya chama au kanda furani.uhalisia unaonyesha wazi vyama pinzani hawana cha kusema tena zaidi ya lawama zisizo na maana,utendaji wa dhati unaonekana wazi kwa chama kinachotawala nchi
huo siyo uhalisia,uhalisia ninkwamba bila nguvu, ccm haiwezi kushinda hata siku moja.
 
*SALAMU KUELEKEA 2019&2020*

CCM YATEST MITAMBO......

Katika kata 43 zilizorudia uchaguzi leo tarehe 26/11/2017 kwa matokeo ya mwaka 2015

CCM tulikuwa na kata 20
Chadema walikuwa na kata 20
CUF walikuwa na kata 2
ACT walikuwa na kata 1

Baada ya miaka miwili ya Mhe Rais Dkt Magufuli akiisimamia kwa weledi na kasi kubwa ilani ya uchaguzi ya CCM 2015-2020 watanzania wameamua kumtunuku zawadi kwa kuipa CCM ushindi wa kimbunga wa 93% kwa kupata kata 40/43 huku chadema wakipata 2 na CUF 1.

Hiki ni kipigo cha kikatili sana.....

Asante watanzania kwa kuamua kuiunga mkono CCM na kumuunga mkono Mhe Rais Dkt Magufuli kwa kazi nzuri anayotenda. Ushindi huu ni kielelezo kuwa mnafurahishwa na kazi inayofanyika na mna imani kubwa na mageuzi yaliyofanywa na CCM.

#CCM_MPYA_TANZANIA_MPYA
hovyo kabisa wewe, yanayofanyika unaona ni sifa....sawa....?? mtauona mkono wa Mungu......
 
Katika kampeni za marudio ya uchaguzi, upinzani umetumia kupigwa risasi kwa Lissu kama mtaji wao wa kupata kura. Lakini badala ya kuamsha hasira za wapiga kura dhidi ya CCM, hasira hizo zimewarudi.

Uongozi wa upinzani uamini tu WaTz hawadanganyiki na siasa uchwara na za kitoto.
 
hivi vyama vya upinzani vikiendelea kususia uchaguzi vitakuja kufutika kabisa.
Ni vema mbowe akaja na mbinu mbadala ya kuweza kupambana na ccm, lakini siyo hii ya kususa, ambayo haitoi matokeo chanya kwa upinzani
Walisusia uchaguzi gani aisee?
 
Mimi niko huki Geita. kuna rafiki yangu Iringa huko anasema CCM wameamua kutumia polisi kulazimisha ushindi kwenye kata moja inaitwa Kitwiru. Anasema wafuasi wa Chadema na mawakala waliokuwa wagumu kukubaliana na hujuma wamekamatwa na kuswekwa rumande. Wanasema CCM imesema iwe isiwe lazima ishinde hata kwa kumwaga damu. Nashauri Msigwa akubali tu CCM wachukue hiyo kata kuepusha maafa kwa watu. Anasema siku chache kabla ya kupiga kura Waziri Lukuvi alienda kupiga kamapeni kwenye Kata hiyo kwa kofia ya uwaziri wa ardhi na kuwatishia kuwanyang'anya viwanja wale wota watakaogundulika ni wapinzani hasa Chadema.
lini lukuvi amesema hayo maneno ebu weka ushahidi
 
Back
Top Bottom