Shost yangu anamtaka, yeye ananitaka mimi

Nawapenda sana wana jf kwakweli mmenichomolea kwa tundu la sindano ninawapenda sana
 
Anakupenda kweli mkubalie lakini hakikisha hajawahi kupita na uyo shost yako namwambia ivi kwasababu pia mm yalishanikuta nlikua na rafiki yangu wa kike, rafik tu asie na mashaka yoyote ikajakutokea nikampenda sana rafiki yake kumbe na uyu rafiki yangu alikua ananipenda kabla ila mm sikua na feelng nae zaid ya urafik tu
Nimependa hii story maana inataka kufanana haki
 
MPE dogo hyo acha uwoga mama,tulikuja kwa udongo na tutarudi kwa udongo usiwe mjinga, "moyo mgeni mpe anachotaka" ushost uvunjike mama ako hyo!? Au Dada ako kusema udugu utakufa! Kaa Kwa dogo akupe raha usiwe boyaaaa kwanza moyo wako ushaanza kutoa ishara chanya! Tena Fanya fastaaa ikiwezkana Leo kwenye monde mtie at a hugg wakat wa kuagana! Hisia zinatengenezwa bn smtymz!
 
Hapo ndiyo urafiki wa miaka mingi wa wanawake unapovunjika. Mweke kikao rafikiyo mueleze kinaga ubaga akupe ya moyoni mwake uamue moja.
 
Mnampigia mbuz gitaa, huyo jamaa shampenda, na ushauri atauacha hapa hapa, na kuliwa ataliwa. Sema hataleta mrejesho.
 
Taja umri wako tukushauri vizuri.
Halafu huyo kijana inaonekana uliisha lala naye, halafu unarudi kutula visogo, ili ufurahi tunavyo"consetrate"!
Ukiona manyoya, elewa kaliwa. Ama ukiona mkia elewa kakatwa!
Hakuna urafiki wa kawaida kati ya msichana na mvulana, huo siyo mfumo wa kidunia.
Labda mwanaume "asiwe ridhiki".
 
Anza kujiweka mbali na huyo shosti wako. Zidisha ukaribu na huyo kijana.

Lakini kaa ukiwa tayari kuukabili mgogoro kati yako na huyo shosti yako.
 
Nawasalimu wote hamjambo?
Hii dunia huwa ina mambo kwakweli nimeona itapendeza kushare na nyie magreat thinker hili jambo maana jf haijawahi kumtupa mtu.

Iko hivi nina rafiki yangu ninaemuheshimu sana tena sana tunasaidiana kwa mengi mno ya muhimu anaweza kuwa hata anazidi ndugu kwa jinsi tulivyo na wote sisi ni masingle maza yeye ni divorced ni mrembo sana na mimi pia ni mrembo kiasi. Niende kwenye point, Shost yangu huwa ana ukaribu sana na kijana mmoja na huwa wanashare mambo mengi ya kimawazo na kimaisha kwa ujumla na huwa anamchukulia kama mtu wa familia yake kama ndugu kabisa na mimi huwa na muheshimu huyo kijana kama kaka tuu sio zaidi, huyu kaka huwa tunaelewana sana story za hapa na pale tunacheka basi na most of the time huwa anapenda kuja home kwangu au tunaweza kaa mahali kwa kinywaji tunatia story kila mmoja kwao hiyo tumezoeana sanasana hadi wakati mwingine Shost wangu anahisi labda tunamahusiano na huwa ananiuliza namimi huwa namwambia aache utani maana kitu kama hicho akiwezi kutokea kamwe kwa mimi, chakunishangaza sikumoja tukiwa kwenye maongezi huyo kaka akaniambia kuwa shost wangu anamtaka kimapenzi tena kwa muhemko wa hali ya juu kwamba anataka amuoe duu ila kwake imekua kama surprise kubwa hakutegemea na wala hana feelings nae ila kumwambia direct anashindwa sasa rafiki yangu anabakia kuumia maana hamuelewi kaka kiumri ni mdogo kidogo kwa shost yangu na shost yangu ana mkwanja mrefu sana kwahiyo anamuahidi huyu kaka vitu vingi ila kaka hatikisiki wala havutiwi sanasana huyu kaka hataki kumuonyesha huyu dada dalili yoyote ya kimahaba ili asije kumuumiza maana hamuhitaji kimapenzi zaidi ya maswala ya kawaida kindugu basi,

Mtihani uko hapa sasa ndio pamenifanya nitiririke kwenu eti huyu kaka anadai anahisia na mimi kupitiliza kwamba ananipenda sana hata kama kwasasahivi siko tayari nijue tuu naniliweke moyoni ujue sikutegemea alichokua anakitamka nimebaki nimepigwa na butwaa huku namtafakari rafiki wamimi huku namtafakari yeye hapo ikumbukwe tuu rafiki yangu hajawahi kunitonya chochote kuwa anatengeneza maishano huyu kaka zaidi kuwa ananiambia kwanini nisiwe na maishano na huyo mbona tunaendana tuu mimi anamjibu siwezi na hautakaa itokee kumbe ananikejeli yeye ndio kafa kaoza kwahuyo mkaka jamani hii dunia inamambo huku mkaka ananibembeleza nimwelewe maana hajiwezi mhh wanaume nyienyie siwawezi
Naombeni ushauri wenye mashiko jamani especially nyie wanaume ndio mnaelewana zaidi na drama zenu maana huyu kaka alivyonikomalia hadi naona naanza kumpenda maana hizo hoja alizozibeba kwenye maneno yake kweli kuingia mkenge sio kitu cha ajabu maana sasahivi ameshaanza kuniingiaingia moyoni na jinsi tulivyo jamii haiamini kuwa sitoki nae maana hapungui nilipo na akiwa na mimi anajaa furaha na bashasha kupita maelezo ushauri plz ushauri wa kiume itapendeza zaidi.
A true men always hunt for a prey
 
Mmoja kati yenu aje kwangu ili kubalance mambo.huo ndio ushauri wangu!
 
Akisha kulala tu ndo utaijua rangi yake saizi bashasha nyingi coz ujamuonjesha gukitumbua gwako Ila ukisha mfunulia tu akajua radha ya mashavu ya k yako ikoje ndo utamjua Kama ni kenge, mamba, au chura....
Ha ha h aisee umetisha!
 
Dogo ametafuta gia ya kukuingia akakosa sasa kaamua kukuingia kwa njia hiyo,binafsi nimewahi kugonga kwa njia kama hiyo sasa wewe mwenzangu ukitega mzigo ujue utamegwa then anatokomea.
Jiandae kugombana na huyo unaemwita shost ako.
 
Nimependa ushauri wako
 
Anza kujiweka mbali na huyo shosti wako. Zidisha ukaribu na huyo kijana.

Lakini kaa ukiwa tayari kuukabili mgogoro kati yako na huyo shosti yako.
Siwezi muacha shost kisa hichi kidume kwanza kuanzia sasahivi ajipange kwa shombo
 
Taja umri wako tukushauri vizuri.
Halafu huyo kijana inaonekana uliisha lala naye, halafu unarudi kutula visogo, ili ufurahi tunavyo"consetrate"!
Ukiona manyoya, elewa kaliwa. Ama ukiona mkia elewa kakatwa!
Hakuna urafiki wa kawaida kati ya msichana na mvulana, huo siyo mfumo wa kidunia.
Labda mwanaume "asiwe ridhiki".
Sijawahi kuwaza kwamba atanitongoza nilimpa nafasi ya ukaka na hadi sasa Niko kwenye butwaa ndio maana nikaleta huku
 
Mnampigia mbuz gitaa, huyo jamaa shampenda, na ushauri atauacha hapa hapa, na kuliwa ataliwa. Sema hataleta mrejesho.
Kuanzia sasa ajipange kwa shombo tuu nimeshazinduka sana sio rahisi
 
Hapo ndiyo urafiki wa miaka mingi wa wanawake unapovunjika. Mweke kikao rafikiyo mueleze kinaga ubaga akupe ya moyoni mwake uamue moja.
Simtaki huyo mwanaume atanikinai mwenyewe kwa shombo
 
Nyie wanawake wengi nawajua vizuri, huwenda kila mmoja hamwambii uhalisia mwenzake mnapokutana kusimuliana ya huyo kaka.

Tena ikichangia Single mama wengi wanafantansy na peps za ndoa basi kila mmoja anavutia kwake kisirisiri.

Chalii anajipigia kule..amekuja kukuingia na wewe kiujanja akumege.[ni hisi tu]

Ila kama uliyoeleza ndiyo uhalisia basi Hapana budi ujiandae kugombana na rafiki yako wa siku zote uwekwe ndani.[hapa ndoa itakuwa na misukosuko inahitaji usimame kidete].
Exactly mkuu,,hapo jamaa anapiga kule na hapo nae anataka ageme mnazi,,,,,,
 
Simtaki huyo mwanaume atanikinai mwenyewe kwa shombo

Kheee mama mbona kama unajibu kwa jazba sana asubuhi yote hii?? bila shaka utakuwa tayari ushapata mrejesho kwa shost ako kuwa naye anampenda sana au pengine amekwambia tayari yeye kashaliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom