Recent content by rajabs

  1. R

    Ushauri: Rais Magufuli mfutie kesi kijana huyu

    Mahakama ni muhimili mwingine na Rais hatakiwi kuuingilia
  2. R

    Nini zaidi huwavutia wanawake zaidi kwa mwanaume?

    Mapenzi pesa piga chuma ukalinde mageti
  3. R

    Ukisikia haya maneno ujue unaombwa rushwa

    Vp lowassa basi twende sawa
  4. R

    Kusuka kwa Wamasai Basi ....

    Kama yalikuwa yanakugusa na ww ungeyagusa ngoma iwe droo
  5. R

    Rais Magufuli unawatesa walinzi wako

    Hoja yako ni sawa. Ila kutembea anajionea nchi yake ilivyo. Huenda akaona jibu huko machakani.
  6. R

    Zuma aponyoka kura ya kutokuwa na imani naye

    Zuma ana mambo huyo. Ila heri yao wamemuumbua na kakubali. Ila fisadi aliekuwa pm sasahv anapeta tu.
  7. R

    Fatuma Karume: Zanzibar tunaishi kama wanyama!

    Atakuwa ana matatizo yake
  8. R

    UDSM kurusha satellite ya mawasiliano 2023

    Safi sana udsm coz history speaks by itself
  9. R

    Mpaka sasa sijaona tofauti ya Kikwete na Magufuli

    Subiri utaona coz huu sio moto wa kifuu.
  10. R

    Simbachewene amerogwa na nani?

    Kama kweli kasema basi atakuwa na matatizo
  11. R

    Marekani yasitisha rasmi Ufadhili wake wa MCC kwa Tanzania

    Jamani kuna kijana mmoja anaeishi marekani kasema eti hawa mcc ndio wale ambao wanatoa misaada kwa nchi za kiafrika huku wakiwashinikiza kukubali ndoa za jinsia moja. Sasa baada ya Tanzania kukataa hilo wametafuta mwanya wa kutokea huku wakiona aibu. Pia inasemekana tegemeo lao ilikuwa ule...
  12. R

    Mwanahabari Salma Said akutana na wanahabari, aeleza kilichotokea

    Mchochezi huyo wangemtia adabu
  13. R

    Mwenyekiti wa CCM uone aibu!

    Waliokipigania chama mwenyekiti awaambie asante tu inatosha. Rais aachwe awahudumie watanzania wote.
  14. R

    Wasichana 'Town' wamekuwa addicted na magari, wataliwa sana

    Ni kweli unavyosema watu hawataki tabu. Na wajanja tukimtaka demu akizingua tunakodi gari.
Back
Top Bottom