Recent content by Rah_sputin

  1. Rah_sputin

    JamiiForums Tanzania Afisa TRA - mtoto wa miaka 2 kumiliki ghorofa

    KAAZ KWEL KWEL! Unaota wewe. Ikiwa wewe siyo mfanyakazi wa TRA unayejitetea, basi wewe ni mbumbumbu maamuma! Wafanyakazi wengi wa TRA ni mafisadi wa kutisha... wanaiba kodi zetu kujineemesha.Tuko nao na tunaona matusi wanayofanya kujilimbikizia mali.
  2. Rah_sputin

    JamiiForums Tanzania Mohammed Said: Waislam hawakuchoma makanisa. waliochoma ni wahuni

    mohd said ni mchochezi kuliko sheikh farid na ponda wakichangwanywa pamoja. Huyu ndo anafaa kusweka kizuizini milele
  3. Rah_sputin

    JamiiForums Tanzania LOWASSA kilichomjenga ni kujiuzuru, pale alithubutu, nani kama yeye anaweza kuuacha uwaziri mkuu?

    huyo mwenye mapenzi ni nani? Rais ni lowassa full stop.
  4. Rah_sputin

    JamiiForums Tanzania Serikali wakaechini kutatua matatizo na waislam

    hawa sijui wabebwe na mbeleko gani mkuu. Hata wakibebwa kukaza shingo nayo kazi. Kazi yao kulialia tu. Kwanini hawajiulizi kuwa nafasi zote kuu na nyeti katka ngazi za taifa wameshikilia wao na bado wanalia. Wamepewa chuo kikuu bureee kikapewa na jina lao.hawawezi hata kukata majani na kufagia...
  5. Rah_sputin

    JamiiForums Tanzania Serikali wakaechini kutatua matatizo na waislam

    hii kali aisee.Kodi zenu zinajengaje makanisa? Rudi darasani ujifunze dini ya ukristo ilikujaje, funds za ujenzi ea kanisa miaka hii zinapatikanaje nk. Fyi wakristo wenyewe hujenga kwa pesa zao wenyewe na hawategemei kodi za mtu yoyote, na ni mchango wa hiari. hiyo MOU waislam mlioishikia bango...
  6. Rah_sputin

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnataka nini

    Huko kubadilika ndo kunawatia simanzi Husny!
  7. Rah_sputin

    JamiiForums Tanzania Maalim Mzizi, je hii ni kweli?

    hahahahhahha wajinga ndo waliwao
  8. Rah_sputin

    JamiiForums Tanzania Vijimambo vya shemeji!

    Mzee mzima ameshika adabu. Alipewa live na kusutwa. Naona mambo yamekuwa sawia.Asanteni kwa mawaidha yenu ya busara. JF NI CHUO TOSHA.
  9. Rah_sputin

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Mbagala ni zaidi ya mnachokifahamu - Oh Tanzania!

    huu ni uhuni tu... hamna kingine
  10. Rah_sputin

    JamiiForums Tanzania Ushoga umejikita mizizi katika jamii yetu, tuache unafiki...

    Umesema la msingi. JF inatoa uhuru kwa watu kusema wanayoyaona ndani ya jamii. Hao wanaomshambulia Boflo huenda ndio wahusika wakuu kwqenye huu mchezo mchafu hivo wameguswa pabaya. Tunawashauri waache huo mchezo mbaya.
  11. Rah_sputin

    JamiiForums Tanzania Natafuta Soulmate

    deadline imepita au zoezi linaendelea?
  12. Rah_sputin

    JamiiForums Tanzania Huu utafiti jamani-Eti 80% ya wanaume husaliti ndoa zao……!

    Ndoa ni hatari kubwa!
  13. Rah_sputin

    JamiiForums Tanzania Mwanamke na kufika kileleni

    Nini madhara ya kutomfikisha mwanamke?
  14. Rah_sputin

    JamiiForums Tanzania Feza secondary vs st. Kayumba.

    Ni FEZA siyo Fedha
  15. Rah_sputin

    JamiiForums Tanzania Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

    Toka lini mwanamke akawa na haki kufikishwa kileleni? Ukifika hesabu ni bahati yako.
Back
Top Bottom