Vijimambo vya shemeji!

Pole sana RS,
Hayo ya shemeji yako mbona huwapata wengi sana? Kama walivyosema wengine, inawezekana shemeji yako hakupitia stages fulani katika ukuaji wake, kalimbukia pesa, ana pepo la ngono au kuna walakini kwenye ndoa yake.Lakini hata kama kuna walakini, suluhisho siyo kutaka hata ndugu wa damu maana wanawake wako tele, kuanzia huko kazini, mitaani ( changudoa) hadi wale wenye kuhitaji MBAs.
Huyo dawa yake ni kumpeleka kwenye level anayoigopa zaidi - pahala ambapo anahofu heshima yake itapotea mfano kama ni mkristo kanisani, au kwenye forums nyingine au watu anaowaheshimu sana.
 
mwambie bucha nyingi nyama ile ile..... naye kazidi anakula mpaka nyumbani????? mbona kama ana jini la ngono naye??? Kwanini mnamuogopa kumwabia kuwatabia zake zimeoza?? ama mnaogopa vijishillingi???
 
nendeni serikali ya mtaa mkamshtaki atawekwa kilinge na kupewa dozi kutoka kwa walimwengu wa mtaani
 
Mmmmmgh! LOL!!
mkuu
unakuta mtoto wa kike anatoa ushauri mbofu kama ule unadhani yupo sawa kweli???

labda kazoea na mie sijajiuzulu kama FIDEL. nipo gado nawamega kimyakimya tu
 
mkuu
unakuta mtoto wa kike anatoa ushauri mbofu kama ule unadhani yupo sawa kweli???

labda kazoea na mie sijajiuzulu kama FIDEL. nipo gado nawamega kimyakimya tu
Mkuu ila nakuomba ifikapo January 2010 uwe umetundika daluga rasmi. Ila sidhani kama CD atakuPM ushamtisha
 
Mkuu ila nakuomba ifikapo January 2010 uwe umetundika daluga rasmi. Ila sidhani kama CD atakuPM ushamtisha
ushauri mzuri nitaufanyia kazi mkuu usihofu.

ila CD ajifunze asiwe anakurupuka kujibu kama anatoka ndotoni hasa ktk masuala magumu nyeti kama ya hapa jukwaani
 
Mzee mzima ameshika adabu.
Alipewa live na kusutwa.
Naona mambo yamekuwa sawia.Asanteni kwa mawaidha yenu ya busara.
JF NI CHUO TOSHA.
 
Back
Top Bottom