tra inatakiwa ifumuliwe yote,mifumo ya ukusanyaji kodi iende na ualisia.mwaka jana wakati natoka china nikiwa na vitu nimevinunua kwa matumizi binafsi,wakati nipo hapo airport ofisa wa tra aliniambia wao awafuati risiti inasemaje,tra wao wana fourfigure yakodi kwa kila kitu,yaani mfano tv lcd inch 32 tra wanakutoza 150000, japo mimi china niliinunua 160,000.ajalishi bei wao wana fixed tax rates,kuna mwenzangu alimnunulia mdogo wake shera la harusi dola 50,lakini pale airport aliambia shela la harusi kodi ni 1million.
Hapo ilibidi tutumie akili kumkichwa tutoke na vitu vyetu!!!!!,sio siri maofisa wa tra ni matajiri kiasi kwamba pesa walizonazo zinaweza endesha nchi hii miaka 3.bila kutegemea bajeti ya wafadhiri.
Mwasibu mmoja wa tra hapa dar ,ana hoteli ya thamani ya 3 bilion pale msamvu morogoro,bakia majumba masaki na kigamboni viwanja