Maalim Mzizi, je hii ni kweli?

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
253009_433219830059808_1733532833_n.jpg
 
Amesahau kipengele cha 'KUUNGANISHA NA FREEMASONS' ndo kinabamba sana siku hizi
 
Mutu kama huyu kule kwetu Kongo wameshamumaliza, wanamuua haraka sana.Analeta hofu katika jamii.
 
Kama ana uwezo wa kumpatia mtu pesa za majini, sasa yeye kwa nini bado anafanya kazi ya uganga? si angekaa nyumbani kwake akawa anapata mapesa mengi akapita mtaani akigawa kwa wahitaji? hata hilo bango lisingekuwepo hapo, lol
 
Ulinzi Kutoka kwa Waganga wa Kienyeji






Naamini umeshasikia mara kadhaa watu wakitaja kile kinachoitwa "sayansi ya kiafrika". Kwa kifupi maneno haya yanaongelea kazi za waganga wa kienyeji. Ni wazi kuwa yanamaanisha upigaji ramli, uaguzi, usafishaji nyota, na hata ulozi na mengine kama hayo.


Siku hizi watu wengi wanakimbilia kwa waganga wa kienyeji kwa lengo la kupata "mafanikio", wakiwamo wanasiasa, wafanyabiashara, wafanyakazi, wake, waume, wapenzi, wachumba, wanamuziki, na hata wale wanaotaka kuwakomesha wabaya wao.


Ukipita sehemu nyingi, utakutana na matangazo ambayo, japo yanashangaza, lakini watu wanaenda kwa hao walioyaweka!

Kumfunga mpenzi mkorofi, kuzindika nyumba, kusafisha nyota, kupata kazi, n.k. ni baadhi ya maneno yaliyo kwenye mabango hayo. Kilichonishangaza mimi ni kuwa, kuna hata matangazo yanayosema wazi kabisa "Njoo tukusaidie kupata utajiri wa majini"!!


Sisemi kuwa hakuna dawa za kienyeji. La hasha! Zipo nyingi na nzuri kabisa. Lakini linapofikia suala la kuaguana na kuambiana kutumia dawa huku mtu yuko uchi, au aangalie mashariki, au akanywee makaburini, n.k., hapo liko jambo.


Alinipa dawa kwenye kichupa kidogo. Na akanipa sharti la kwenda kuinywa usiku wakati watu wote wamelala; na nihakikishe hanioni mtu yeyote.


Lakini kabla ya kuondoka kwake, alinichanja chale, ambapo aliniambia nifumbe macho na nisifungue kabisa wakati anaponichanja! Haya ni mambo ambayo yanafanyika kila siku sehemu mbalimbali.


huyu ni Mganga wa kienyeji anayeitwa kwa jina la Mbuzi Mzee
 
Kama ana uwezo wa kumpatia mtu pesa za majini, sasa yeye kwa nini bado anafanya kazi ya uganga? si angekaa nyumbani kwake akawa anapata mapesa mengi akapita mtaani akigawa kwa wahitaji? hata hilo bango lisingekuwepo hapo, lol

naunga mkono hoja yako.............teh teh teh ye anavaa kaniki akupe wewe pesa kwani ye hazitaki......au hataki kuvaa suti na kuendesha range kwa pesa hizo za siku 3 za majini?........:A S embarassed:
 
Back
Top Bottom