Mohammed Said: Waislam hawakuchoma makanisa. waliochoma ni wahuni

nipo kwenye simu sijayasikiliza hayo mazungumzo ila ningependa kujua kama kitojo kamuuliza na wale waliovunja ukuta na kuvamia kiwanja(mali halali ya mtu) na wenyewe ni wahuni?
 
kama waliochoma ni wahuni, sasa mbona wanataka kuandamana ili waachiwe kule mahakamani? cha muhimu ni kwamba wanatakiwa kuhubiri amani sio fujo huko kwenye radio iman na magazeti yao ya ajabuajabu.
 
nipo kwenye simu sijayasikiliza hayo mazungumzo ila ningependa kujua kama kitojo kamuuliza na wale waliovunja ukuta na kuvamia kiwanja(mali halali ya mtu) na wenyewe ni wahuni?
hakumuuliza hilo swali
 
Akiwa kwenye mdahalo na Sekioni Kitojo Mohamed Said amesema kuwa waislamu hawakuchoma makanisa waliochoma n wahuni waliotumia mgongo wa uislam.
"kwanza si waislam waliochoma kanisa, mwislam hawezi kuchoma kanisa kama kanisa limechomwa watakuwa ni wahuni wa mitaani wamechukua upenyo ule kufanya uhalifu wao' alisema
kumsikiliza bonyeza hapa
Moja kati ya mamtatizo makubwa ambayo yanatukabili watanzania leo hii ni kuukataa ukweli hata kama unajidhihirisha mbele ya macho yetu
 
Mwanangu Mohamed Saidi anajulikana alivyo mgonjwa wa udini. Ingawa sasa anajiweka mbali na waislam waliochoma makanisa, anasahau kuwa haya ni matokea ya mahubiri na misimamo ya watu kama yeye. Swali zuri sana limeishaulizwa ni kwanini kama ni wahuni wanaotafuta upenyo sijui wa kufanya nini wasichome misikiti pia? Tell it the birds mwanangu waliochoma wanajulikana na wametumwa na nani.
 
That old man's words are poisonous for the young generation as well as for the well being of the nation, I have never

ever meet a nonsense old man like Mohamed said.
 
Waislamu ni wanafiki sana, tukianza kuwaponda hao walichoma makanisa wanasema eti sisi tunauponda uislamu! Wakiwa kwenye midahalo mara wanadai waliochoma makanisa ni wahuni,
sasa which is which?
 
mwanangu mohamed saidi anajulikana alivyo mgonjwa wa udini. Ingawa sasa anajiweka mbali na waislam waliochoma makanisa, anasahau kuwa haya ni matokea ya mahubiri na misimamo ya watu kama yeye. Swali zuri sana limeishaulizwa ni kwanini kama ni wahuni wanaotafuta upenyo sijui wa kufanya nini wasichome misikiti pia? Tell it the birds mwanangu waliochoma wanajulikana na wametumwa na nani.
mohd said ni mchochezi kuliko sheikh farid na ponda wakichangwanywa pamoja.
Huyu ndo anafaa kusweka kizuizini milele
 
Angerahisisha angesema baadhi ya waislam ni wahuni angeeleweka, haiwezekani watu wapange mikakati yao msikitini alafu wanaitwa tena siku ya swala alafu waitwe wahuni
 
Akiwa kwenye mdahalo na Sekioni Kitojo Mohamed Said amesema kuwa waislamu hawakuchoma makanisa waliochoma n wahuni waliotumia mgongo wa uislam.
"kwanza si waislam waliochoma kanisa, mwislam hawezi kuchoma kanisa kama kanisa limechomwa watakuwa ni wahuni wa mitaani wamechukua upenyo ule kufanya uhalifu wao' alisema
kumsikiliza bonyeza hapa

Ukikuta anavyojidai kuwa ni muislam safi... Huwezi kuamini kuwa Mohamed Said in mnafiki in the real sense of a hypocrite:

Anapoeleza kuonewa kwa waislam, basi atataja kila mtu mwenye jina la kiislam kuwa ni muislam.
Anapodai kuwa waislam ndio waliopigania uhuru wa TZ basi kila mwenye jina la kiislam ni muislam.
Akipiga makadirio yake ya uongo kuhusu idadi ya waislam Tanzania, kila mwenye jina la kiislam ni muislam

Lakini


Unapomtajia wahalifu wenye majina ya kiislam, anasema hao sio waislam.

Hypocrisy!!
 
Waislamu ni wanafiki sana, tukianza kuwaponda hao walichoma makanisa wanasema eti sisi tunauponda uislamu! Wakiwa kwenye midahalo mara wanadai waliochoma makanisa ni wahuni,
sasa which is which?
ukitaka kujua unafiki wa hawa jamaa: kama kipengele cha dini kingewekwa kwenye sensa, hata hawa 'wahuni' waliotokea msikitini na kwenda kuharibu na kuiba mali ya kanisa ungeambia ni waislamu ili idadi yao iongezeke...tuliwauliza sana kule kwenye nyuzi za sensa, hivi muislam ni nani? angalau leo hii wametujibu(ingawa kinafiki) kwamba kuwa muislam siyo kuitwa abdallah na kuingia msikitini tu...kuwa muislam ni zaidi ya hayo ndiyo maana wengine wanaitwa juma na kuswali misikitini lakini wanaishia kuitwa wahuni tu siyo waislamu...!
 
kwanini hao wahuni hawakwenda kuchoma misikiti na nyumba nyingine???
au ndio kusema waislam ni wahuni!!!
 
kichekesho ni kwamba, waliiba na kuiba, wamechoma makanisa alafu wakaiba mifaa vya muziki na viti. na kuna watu wanataka kuandamana kuwatoa gerezani......kama hawana vifaa vya msikinini wangesema tuchange sadaka tuwanunulie...manake walikamatwa navyo ivyo vitu.
 
kama ni wahuni basi na yeye ni mhuni, kwa 7bu waliochoma makanisa walitokea misikitini na mikakati ya kuchoma makanisa iliandALIWA huko
 
Back
Top Bottom