Mwanamke na kufika kileleni

Mwanamke na kufika kileleni

Nijuze, pia jinsi mwanaume anavyoweza kufikishwa kileleni na mwanamke!
hii ni kwa sababu kutoa mbegu za kiume (release) haimaanishi kuwa
mwanaume amefika! hawa wanaume ambao wanarelease bila miili na mioyo
yao kutosheka wao wanasaidiwaje na wake/wapenzi wao ambao wanakuwa
wagumu wakisubiri kuandaliwa??
 
hizi story za mwanamke kuandaliwa, kufikishwa, kuwezeshwa etc zinaonyesha kama vile yeye anatakiwa kusubiri tu bila kuwa na initiative yeyote...
 
Duu umetisha!!
Ujue kwa wanaume wengi now hili ni bonge la mtihani so itakuwaje kwa tusio kuwa na elim ya kutosha??
Kama vipi funguka zaidi kwa kumwaga mautundu basi.
 
Kuna aina zaidi ya moja za vilele vya mwanamke. Sasa tunazungumzia kilele kipi, cha? cha? au cha?
 
Kupigiwa na watalaam nje ya ndoa.

haya sio madhara, ni matokeo.

Madhara ni kusababisha mwanamke kuwa na mihemko non stop. Suluhisho, mwenzio akikuambia humfikishi fanya jitihada kumfikisha, ukishindwa muombe muachane.

Heri mwanamke single kuliko mwenye mwenza na akaishia kuchokonolewa tu bila kumaliza.
 
Kuna aina zaidi ya moja za vilele vya mwanamke. Sasa tunazungumzia kilele kipi, cha? cha? au cha?

Vielezee vyote ili tukueleze tunachochangia,usije ukafikiri kumnunulia dem wako mahitaji yote,ndio kumfikisha kileleni?
 
Utajuaje mwanamke amefika au lah?!
MAPROSOO.
 
kuletewa ukimwi ndani,atatoka nje akakunwe kisiri siri...lol

Akakunwe na nani wakati wanaume mnaowazungumzia ndio hao hao? Kama mwanamke hauna manjonjo kamwe hautofika kileleni hata uende kwa cholo
 
hivi hatuwezi kodi magreda ya kuja kusambaza milima yote tubaki na nchi tambarare tu?

Haya mambo ya vilele, vijilele, mizizi ya vilele imekuwa tatizo.
Bora kutokuwa na milima kabisa tuone mashindano yatakuwaje bila vilele.
 
Mwanamke hujihisi kukosa upendo kwa mumewe na pia anaweza kudhofika afya na kiroho.
 
Kawaida mwanaume aliye na upendo na mke wake akikutana kimwili na mkewe lazima afike kilele kwa kutoa mbegu na hapo moyo wake na roho yake hufikishwa raha anayoitaka.

Nijuze, pia jinsi mwanaume anavyoweza kufikishwa kileleni na mwanamke!
hii ni kwa sababu kutoa mbegu za kiume (release) haimaanishi kuwa
mwanaume amefika! hawa wanaume ambao wanarelease bila miili na mioyo
yao kutosheka wao wanasaidiwaje na wake/wapenzi wao ambao wanakuwa
wagumu wakisubiri kuandaliwa??
 
kuletewa ukimwi ndani,atatoka nje akakunwe kisiri siri...lol

Wapo wengine hawatoki nje ni wavumilivu kwa ajili ya kutunza ahadi kwa Mungu lakini hawezi kufruahia tendo hilo la kufanya mapenzi na mumewe maana atajiona kama anamtimizia haja mumewe wakati yeye hapati raha ya kimwili na kiroho
 
hizi story za mwanamke kuandaliwa, kufikishwa, kuwezeshwa etc zinaonyesha kama vile yeye anatakiwa kusubiri tu bila kuwa na initiative yeyote...

No hapa tunaelezea kwa wale ambao hisia zao za kufanya mapenzi zinakuwa mbali wakati mumewe mwili umeshachemka.Kawaida wote mnatakiwa kuhusikia kuinitiative kwa kushikanakana sehemu mbali2 za mwili hadi hapo joto la kila mmoja kuwa high kiasi cha kuhitaji kupanda mlima
 
Back
Top Bottom