Feza secondary vs st. Kayumba. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Feza secondary vs st. Kayumba.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by RUV ACTVIST., Feb 11, 2012.

 1. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hivi imekaeje hii? Feza Secondary na shule zetu za kata kupewa mtihani mmoja? Wakati Feza Sec inakila kitu, walimu wazuri, vitendea kazi, ni haki kweli? Haya na hili la secondary za serikali kuzidilwa na private litaisha lini? serikali ndo yenye kila kitu, dola, kodi zetu, inazipeleka wapi? hali itaisha lini? Nani tumvishe kengele?
   
 2. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  ni sahihi kabisa kwani hata huko vijijini kuna vijana wanapata one,pia feza na tabora boyz kuna tofauti gani...mbona tabora boyz wanafanya vizuri mara kibao
  mwanafunzi smart ata kama yuko makorokoroni anatoka tu.
   
 3. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hapo ndo ushangae serikali yako inaposisitiza shule za binafsi ziwe na ubora unaotakiwa wakati shule za serikali hazina ubora huo ambao inasimamia. Shame on you government
   
 4. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Sioni kitufe cha LIKE ningekugongea, nimependa mchango wako wako na ukweli ndio huo.
   
 5. Rah_sputin

  Rah_sputin Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni FEZA siyo Fedha
   
 6. rifwima

  rifwima JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Your very wrong! Elimu haiko hivyo. Huyo anayepata Div I shule za kata sawa na aliyepata the same Feza ni lazima wa shule ya kata to somee extent alikuwa exposed to some environment that allows coherent and comprehensive learning process to take place. So unataka kuniambia mass failure kwenye shule za kata ni kwa sababu hawana uweza kuelewa? No sababu ni mazingira ambayo hawana walimu wa kutosha, hakuna maabara, hata walimu waliopo wengi siyo competent N.K.
   
 7. mjombo's

  mjombo's JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  zero commitment made by de gvt in education so tegemeeni moo failure huko tunakoenda coz elimu ya 4m 4 ndioi inauliwa bado 4m six which z on the way
   
Loading...