Recent content by Rafaty

  1. R

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redioni acheni 'Ushamba' kwani Liverpool FC Kufungwa Goli Saba ni ajabu sana? Mnatuboa!

    NA LEO WASEME SASA TUMEPIGA MTU 7 UP NI MWENDO WA BACK TO BACK...WATAELEWA AKINA SHAFII
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ghafla Liverpool imegeuka kuwa binti maringo?

    😂😂😂😂😆😆😆😆😆 TUMEONGOZA KUPATA MAJERUHI WENGI SANA CHANGANYA NA AKINA DALA NA MANE KUPATA CORONA NA TULIFUNGWA NA ASTON VILLA 7-1 LAKINI MPAKA SASA TUNAONGOZA LIGI NA TUNA GD 17 NYINGI ZAIDI YA TIMU ZOTE...WHAT A TEAM LAZIMA MTESEKE SANA NI.BACK TO BACK.....💥💥💥💥
  3. R

    JamiiForums Tanzania Serikali: Walimu wa Shule za Sekondari na Msingi walioajiriwa ni elfu nane pekee

    Mzee ushawahi kufanya biashara au unatype tu maandishi...nenda kwenye field usifsnye typing tu na guessing
  4. R

    JamiiForums Tanzania Biashara gani ya mtaji mdogo inafaa kwa wageni Kariakoo?

    Sasa kwanini useme fremu milioni 2 kuendelea??? Na wakati zipo mpk za laki 2...3..4..5..6..7..8 9..kwenda mbele
  5. R

    JamiiForums Tanzania Biashara gani ya mtaji mdogo inafaa kwa wageni Kariakoo?

    Acheni kukatisha watu tamaa...km hampo kkoo ulizeni
  6. R

    JamiiForums Tanzania Biashara gani ya mtaji mdogo inafaa kwa wageni Kariakoo?

    Acha uwongo....inategemea na 1.mtaa, 2. Fremu ipoje ndogo au kubwa au kijichochoro...kwsbb kuna mitaa ni millioni mingine laki 8, 7, 6 mpk 5...na vile vifrem vdg unapata mpk laki 2....mimi nipo mtaa wa sikukuu na mchikichi nalipa laki 5 kwa mwezi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mfahamu kwa ufupi Donnie Yen

    Story ni Tiger Cage....japo sio kuwa demu alikuwa na mishe za kumuua boyfrnd wake bali ni kuwa kuna pesa ziliibwa zikatupwa mahali na yy icho kisanga kilitokea tu kumkuta akiwa kitaa....
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kuna anaemzidi Dj Murphy kwa kutafsiri season?

    Mtafite Ommy Dj...mkali sana 1.ommy D 2. MASTER DJ 4. MURPHY 6. SIX FINGERS 7.MACK...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa wapi wakati kifo cha Mwalimu Nyerere kimetangazwa?

    Nilikuwa nasoma std 1 Mambo pr. School Lushoto Tanga...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni Magufuli tena, Ni Samia tena T2020 JPM

    Kwenye ajira acha kuongopa walimu wa Artd still mpk leo wapo mtaani...hao wa science bado wapo wameajiriwa wachache sana.....
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mfahamu kwa ufupi Donnie Yen

    Story haipo ivyo lkn movie inaitwa Tiger cage...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasomi wengi akili zao ni Madudu

  13. R

    JamiiForums Tanzania Sitosahau siku ambayo tulifika Mbeya saa saba mchana. Njia nzima nilitubu dhambi zangu

    Na bado hajastaff🤣🤣🤣
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ulitumia masaa mangapi Mkoa hadi Mkoa kwa gari/bus

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Back
Top Bottom