Kuna anaemzidi Dj Murphy kwa kutafsiri season?

Huyu Dj namkubali sanaa, anajua anachokifanya.

-Anaepuka matusi kwenye kazi.
-Sauti yake inavutia kusikiliza.
-Anatoa ushauri wa kimaisha anapotafsiri movie
Na mengine mengi.

Binafsi nampa nafasi ya kwanza. Ya pili nampa DJ Afro
Nenda kwa Ras Simba ujue hata tuneno tuwili maana kina rufufu duh
 
Kamwe huwezi kupata utamu halisi wa movie,ukiangalia movie zilizotafsiriwa na hawa wenzetu.Mi niliacha tangu nipo njuka,nlkuwa nachek movie na ka-dictionary kangu pembeni
Kuna zile kauli kuntu,utashindwa kujua utamu wake
 
Huyu Dj namkubali sanaa, anajua anachokifanya.

-Anaepuka matusi kwenye kazi.
-Sauti yake inavutia kusikiliza.
-Anatoa ushauri wa kimaisha anapotafsiri movie
Na mengine mengi.

Binafsi nampa nafasi ya kwanza. Ya pili nampa DJ Afro
Mtafite Ommy Dj...mkali sana
1.ommy D 2. MASTER DJ 4. MURPHY 6. SIX FINGERS 7.MACK...
 
Serikali inatakiwa ipige marufuku hizi movie ambazo waswahili wanaingiza sauti zao.
1. Zinakiuka copyrights
2. Nyingi ni pirated, yani zinatolewa copy kwenye vikomputa mitaani serikali haipati kodi
3. Tafsiri nyingi ni za uongo
4. Zunalemaza vijana hususan wanafunzi kujifunza lugha za kigeni
5. Zinapoteza muda wa watanzania kuzalisha mali
6. N.k
Utaacha lini kuwa mtumwa kwa kushadadia lugha za kigeni... ??? Ajabu kweli
 
Serikali inatakiwa ipige marufuku hizi movie ambazo waswahili wanaingiza sauti zao.
1. Zinakiuka copyrights
2. Nyingi ni pirated, yani zinatolewa copy kwenye vikomputa mitaani serikali haipati kodi
3. Tafsiri nyingi ni za uongo
4. Zunalemaza vijana hususan wanafunzi kujifunza lugha za kigeni
5. Zinapoteza muda wa watanzania kuzalisha mali
6. N.k
Umelazimishwa uziangalie! Nyie ndo wale msiopenda lugha yenu.bure kabisa
 
lafu anachanganya na lugha nyingine zisizoeleweka. Mf: Makagari, kamunyweso, unyambo, kibwin🤣🤣🤣🤣

Ila kweli bhana 😁
 
Namuelewa sana Dj Afro amigos kimooda!
Hakuna mtu hapa bongo ambaye anafikia hata nusu ya huyo jamaa
Huyu iamaa ni mnoma tena m-deadly zaidi hasa akikwingilia pande za Mongolia.

Cheki maneno jiiiiiiii alaaaa vuuuu basi ikiwa ni mwanzo mwanzo mwa hili sinema vuuuu tunapatana na jangili la majangili gezinyaku la magezinyaku Shinji Tagawa vuuu hahhahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom