Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redioni acheni 'Ushamba' kwani Liverpool FC Kufungwa Goli Saba ni ajabu sana? Mnatuboa!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,054
107,538
Mnaacha Kujadili Manchester United nao 'Kufungwa' Bao Sita 'Mishipa' yenu 'imewakakamaa' tu Kuisema na Kuijadili tu Klabu pendwa ya 'Geniuses' wengi duniani Liverpool. Kama FC Barcelona miezi kadhaa tu ametoka 'Kuchezea' Goli Nane ila cha 'Kushangaza' wala hamkutumia muda mrefu Kuwachambua ila leo kila Redio imetumia muda mwingi Kuiongelea tu. Badilikeni!
 
Radio gani hao?
 
Kuwa mpole mkuu. Hao watangazaji ukiwafuatilia unaweza ukashindwa kufuatilia kampeni za JPM kwenye luninga na redio
 
Na bado kuna timu ya Mwamedi fc ina jezi inayofanana na hiyo ya Liverpool, kuna kila dalili ya kuduwazwa hiyo tarehe 18 ya mwezi huu na wale Mabingwa wa Kihistoria!!!
 
Mnaacha Kujadili Manchester United nao 'Kufungwa' Bao Sita 'Mishipa' yenu 'imewakakamaa' tu Kuisema na Kuijadili tu Klabu pendwa ya 'Geniuses' wengi duniani Liverpool. Kama FC Barcelona miezi kadhaa tu ametoka 'Kuchezea' Goli Nane ila cha 'Kushangaza' wala hamkutumia muda mrefu Kuwachambua ila leo kila Redio imetumia muda mwingi Kuiongelea tu. Badilikeni!
NA LEO WASEME SASA TUMEPIGA MTU 7 UP NI MWENDO WA BACK TO BACK...WATAELEWA AKINA SHAFII
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom