Kwanini wasomi wengi akili zao ni Madudu

Acha mbwe mbwe..wanaojiita wasomi mpaka leo ndo wameifanya Afrika kua masikini kwa kupokea elimu robo iliyojaa misingi ya kigeni,lakini wasomi hawa hawajawahi kutengeneza jambo lenye kuleta mahitaji kwa watu duniani ili dunia itukimbile tufanye biashara. ni bure kabisa na ndiyo maana hata mitaani wasomi walio wengi ni masikini na wanaoitwa hawakusoma uchumi wao unakwenda sawia

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Unakaa mtaa upi ambao wasomi wana maisha mabovu kuliko ambao hawajasoma
 
Duh sibishi labda tumetofautiana sababu mimi nakumbuka mzazi ananituma benki kujaza jaza hayo madude nipo kidato cha 3....Halafu hiyo namba kama ni ya mwanamke nipe
Ndo nakuambia mimi dent mwaka wa kwanA anakuja na mzazi .mzazi anaanA kimbizana na zie folen za benk kupanga folen...akiulizwa anasema mwanangu hajawah lipa kupitia benk..wakamchomoa wakamweka mtoto alichemka...! Naongea nikimanisha! Tena sio vyuo vyenu vy polytechinic..chuo kikubwa kbs cha serikali!
Shika pepa zao sasa wanavyochabanga!!...n ukiwala san vichwa unaundiwa tume..eish
 
Hawa watoto wa sasa hivi ni vimeo tu!!... Kuna mtu anafanya kazi chuo fulani bas huwa naangalia zile papers zao naishiaga kucheka wanaandika uchafu tupu yy anapita na mikasi tu dadeq...coursework mtu anapata 2/20! Alichoandika sasa!
Alafu naskia ukitwist swali kidg tuu jua nusu ya darasa utawala vichwa ..naskia had waambiwe hapa ntatoa swali..sasa ukiwatolea nje ya ulichowapa bas watakosa wote wachache watapata .naskia hata kwenda bank kulipia ada kuna mengine hayawez mzaz anakuja kulipia bas baskia wakiona mzaz kapanga folen ya bank wanamtoa wanaema mwache kijana akalipe .eti hata kuandika tu kwnye ile form hayawezi..ujinga sana huu...wazazi badilikeni sana aisee!
Ukifika chuoni ndo ujue unaanza maisha !hapo hakuna cha wapinzani wala nn!
Tatizo la wengi ukihitaji mfanyakazi na budget yako ndogo bhasi unaomba uletewe yoyote ili mradi katoka chuo. Mwisho wa siku ukiharibiwa kazi unaanza kulaumu wasomi wakati njia zako za kuwapata bado zilikuwa za connection tu.

Tangaza ajira, ita watu fanya interview ya ukweli. Usipopata mtu sahihi bhasi tatizo ni lako
 
Sure!
 
Sasa hapo elimu ya chuo inaingiaje kwenye uzembe kama huo [emoji23][emoji23]!?

Alexander
Na pia sijaona kwanini amesema amemaliza form iv na alifeli sijaona connection yake na story aliyotupa.
 
Habari wakuu,

(R & L kwangu ni tatizo )

Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa Kitanzania ambae elimu yangu ni kidato cha nne, yaani nilifeli kidato cha nne.

Kwa sasa naishi maisha ya kawaida. Nimekuwa nikishangazwa sana na hawa binadamu ambao elimu zao zimefikia chuo.

Nimekuwa nikiwaajiri hawa viumbe katika kazi zangu lakini mambo wanayoyafanya naona ni bora nifanye kazi na kijana wa mtaani ambaye hana elimu yoyote lakini ana uelewa mzuri. Wamekuwa wanipa hasara na wamekuwa hawafanyi kazi vizuri kulingana na elimu yao.

Sasa Leo ndio nimeamini hawa viumbe ni madishi kabisa. Kuna kijana mpya ambae nimempa ajira ya muda mfupi kwa kipindi hiki cha corona "yeye ni mwanachuo wa UDOM"

Kwakuwa vyuo vimefungwa na kijana alikuwa anataka kufanya kazi na mimi nikaona sio mbaya acha nifanye nae kazi.

Tunavyofanya kazi, jioni huwa nampatia laptop ili kazi zingine akazifanyie nyumbani. Leo linanipigia simu eti nimepatwa na dharura ya ghafla nimesafiri kwaiyo nitarudi baada ya siku 4. Kibaya zaidi ameondoka na laptop, na ndani yake kuna kazi muhimu sana ambazo kabla ya hizo siku nne zinatakiwa ziwe tayari.

Ninacho jiuliza ni kwamba, huyu kiumbe alishindwa nini kurudisha PC ili watu wengine wafanye kazi.

Sina hofu kuwa anaweza kunitapeli PC "kijana sio tapeli na hawezi kufanya ivyo" ila ndio amekwamisha kazi zangu kwa uzembe wake.

Ndugu zangu naomba mniambie hawa viumbe kwanini akili zao hazieleweki.

NB Sipo kwaajili ya kuwatukana watu kama hawa.

Kuhusu Laptop.nimemwambia kesho anitumie Kweye basi ili ifike kabla ya yeye kurudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa inaonekana kabisa wewe ni mtupu kabisa na ndo maana ulifeli kidato Cha nne.umesema unaishi maisha ya kawaida kabisa,tupe tafsiri ya maisha ya kawaida ni yepi.Pia unajua Kama Kuna emergency?Kama hakuwepo mtu wa kuitunza hiyo PC angelifanyaje.Tangu ln PC moja ikatumiwa na watu wawili?Hiyo basi ni desktop.Kwa maelezo yako inaonekana una kampuni hivyo kampuni haikosi desktop na Kuna vitu vya kuhifadhia kazi zako external devices Kama vile flash.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo nakuambia mimi dent mwaka wa kwanA anakuja na mzazi .mzazi anaanA kimbizana na zie folen za benk kupanga folen...akiulizwa anasema mwanangu hajawah lipa kupitia benk..wakamchomoa wakamweka mtoto alichemka...! Naongea nikimanisha! Tena sio vyuo vyenu vy polytechinic..chuo kikubwa kbs cha serikali!
Shika pepa zao sasa wanavyochabanga!!...n ukiwala san vichwa unaundiwa tume..eish
Duh Haya
 
Kwani kazi yako haikuweza kutumwa kwa njia ya email au zingine....
 
Ngoja ntajihatdi kuchokoza tena hayo maongezi nikurekodie au ntapiga pic pepa zao nikutumie..mtu excel..sijui window tu anashindwa anabak tetemeka..semister nzima anafundishwa ikijiminize tu kwisha kaziii🤣🤣🤣!
Ila majanga kweli wapo😆😆😆...Kuna mwingine kamaliza kusoma computer science UD ila kuchapa tu simple code kwenye computer mtihani
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Kuna tatizo!
Mimi nimepitia diploma, degree na kuendelea.
Kwenye ishu za ufundi na kutumia vifaa vya kidigital kwauchunguzi mdogo niliofanya nimegundua vitu vifuatavyo na kuvifananishana na hizo levo za Elimu
1. Kutumia vifaa katika field ....certificate na diploma wanakopu vizuri sana na hata kuvijua. Mtu mwenye degree (direct entry) anaweza hata asikijue hicho kifaa kama unamtuma akakilete..(weakness hapa ni insufficient field work for degree holders during the course time).
Mf. Kuna katapilla bovu liletwa saiti na wazungufulani wakati fundi mkuu (Kajifunza kwa uzoefu darasa la nne mkoloni) amepata shida kidogo ya kiafya. Mabeberu hawa (kama siku hizi tunavyowaita) walikuwa wanalitaka ndani ya siku mbili kwa gharama yoyote. Mkuu wa kitengo with full mechanical engineering certificates alichukua mpaka mechanical model menu kurudishia baada ya kubomoa gearbox yake na bado baadhi ya spear zilizopaswa kuingia katika gearbox zimebaki chini. Ikabidi fundi mkuu afatwe na kuombwa ...Kazi iliyomchukua Mkuu wa kitengo masaa 7 jamaa aliifanya kwa masaa 2 tena akiwa amekaa katika kiti na nyoka ndio waliopiga spana.
2. Kuficha weakness.
Elimu sio ishu inasaidia kupata vyeo vya juu . Kuelewa unachopasa kukifanyia kazi ndio muhimu zaidi. Watu na elimu zetu tupunguze ubosi badala yake nenda field ukaangalie kinachofanyika na fanya majadiriano na mafundi no matter uwezo wao kielimu. Utajifunza mengi tofauti na darasani ulivyojifunza .... wengi sisi ni wazee wa ku-approve certificates za kazi tu.
3. Kujisikia na kuona tumemaliza na elimu zetu ...adabu ndogo na kufoka foka badala ya kuchunguz tatizo nini.
Kwangu mimi Bandiko la jamaa hapo juu ni challenge tuliyonayo kwa graduate wetu
 
Habari wakuu,

(R & L kwangu ni tatizo )

Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa Kitanzania ambae elimu yangu ni kidato cha nne, yaani nilifeli kidato cha nne.

Kwa sasa naishi maisha ya kawaida. Nimekuwa nikishangazwa sana na hawa binadamu ambao elimu zao zimefikia chuo.

Nimekuwa nikiwaajiri hawa viumbe katika kazi zangu lakini mambo wanayoyafanya naona ni bora nifanye kazi na kijana wa mtaani ambaye hana elimu yoyote lakini ana uelewa mzuri. Wamekuwa wanipa hasara na wamekuwa hawafanyi kazi vizuri kulingana na elimu yao.

Sasa Leo ndio nimeamini hawa viumbe ni madishi kabisa. Kuna kijana mpya ambae nimempa ajira ya muda mfupi kwa kipindi hiki cha corona "yeye ni mwanachuo wa UDOM"

Kwakuwa vyuo vimefungwa na kijana alikuwa anataka kufanya kazi na mimi nikaona sio mbaya acha nifanye nae kazi.

Tunavyofanya kazi, jioni huwa nampatia laptop ili kazi zingine akazifanyie nyumbani. Leo linanipigia simu eti nimepatwa na dharura ya ghafla nimesafiri kwaiyo nitarudi baada ya siku 4. Kibaya zaidi ameondoka na laptop, na ndani yake kuna kazi muhimu sana ambazo kabla ya hizo siku nne zinatakiwa ziwe tayari.

Ninacho jiuliza ni kwamba, huyu kiumbe alishindwa nini kurudisha PC ili watu wengine wafanye kazi.

Sina hofu kuwa anaweza kunitapeli PC "kijana sio tapeli na hawezi kufanya ivyo" ila ndio amekwamisha kazi zangu kwa uzembe wake.

Ndugu zangu naomba mniambie hawa viumbe kwanini akili zao hazieleweki.

NB Sipo kwaajili ya kuwatukana watu kama hawa.

Kuhusu Laptop.nimemwambia kesho anitumie Kweye basi ili ifike kabla ya yeye kurudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiugua sasa hivi utaenda kwa nani akutibu ? dawa utanunua/kutibiwa zilizotengenezwa na nani ? Ukitaka kujenga jengo kubwa(gorofa) mchoraji nani ? mjenzi eng ni nani ?
mahesabu yako ya Biashara kwa ajili ya TRA nani anakutengenezea ? Hilo gari au pikipiki unayoitumia nani kaitengeneza ? Hayo makoti yako kiwanda nani kakitengeneza ? hiyo Laptop imetengenezwa na nani ? Kwa nini ulienda shule ?

Nadhani mpaka hapo ulipo umeshagundua unachokisema kina mapungufu kiasi gani ?
WIVU TU HUO WA KUIKOSA ELIMU
 
Wasomi wa kiwango Cha uprofesa na udaktar Ni wale walio na uwezo wa kukariri tu,wale hawawez mambo menginel.Hawa malecturer hawana lolote ukiwaweka kwenye nyanja zingine hawawez kitu chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

(R & L kwangu ni tatizo )

Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa Kitanzania ambae elimu yangu ni kidato cha nne, yaani nilifeli kidato cha nne.

Kwa sasa naishi maisha ya kawaida. Nimekuwa nikishangazwa sana na hawa binadamu ambao elimu zao zimefikia chuo.

Nimekuwa nikiwaajiri hawa viumbe katika kazi zangu lakini mambo wanayoyafanya naona ni bora nifanye kazi na kijana wa mtaani ambaye hana elimu yoyote lakini ana uelewa mzuri. Wamekuwa wanipa hasara na wamekuwa hawafanyi kazi vizuri kulingana na elimu yao.

Sasa Leo ndio nimeamini hawa viumbe ni madishi kabisa. Kuna kijana mpya ambae nimempa ajira ya muda mfupi kwa kipindi hiki cha corona "yeye ni mwanachuo wa UDOM"

Kwakuwa vyuo vimefungwa na kijana alikuwa anataka kufanya kazi na mimi nikaona sio mbaya acha nifanye nae kazi.

Tunavyofanya kazi, jioni huwa nampatia laptop ili kazi zingine akazifanyie nyumbani. Leo linanipigia simu eti nimepatwa na dharura ya ghafla nimesafiri kwaiyo nitarudi baada ya siku 4. Kibaya zaidi ameondoka na laptop, na ndani yake kuna kazi muhimu sana ambazo kabla ya hizo siku nne zinatakiwa ziwe tayari.

Ninacho jiuliza ni kwamba, huyu kiumbe alishindwa nini kurudisha PC ili watu wengine wafanye kazi.

Sina hofu kuwa anaweza kunitapeli PC "kijana sio tapeli na hawezi kufanya ivyo" ila ndio amekwamisha kazi zangu kwa uzembe wake.

Ndugu zangu naomba mniambie hawa viumbe kwanini akili zao hazieleweki.

NB Sipo kwaajili ya kuwatukana watu kama hawa.

Kuhusu Laptop.nimemwambia kesho anitumie Kweye basi ili ifike kabla ya yeye kurudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo mbona mpumbavu ni wewe..
 
Mzee hakuna kitu , kuhusu vyuo ni upuuzi tu. Sawa na mfugaji anauza ng'ombe anapeleka ng'ombe chuo. Hao ni mang'ombe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha mbwe mbwe..wanaojiita wasomi mpaka leo ndo wameifanya Afrika kua masikini kwa kupokea elimu robo iliyojaa misingi ya kigeni,lakini wasomi hawa hawajawahi kutengeneza jambo lenye kuleta mahitaji kwa watu duniani ili dunia itukimbile tufanye biashara. ni bure kabisa na ndiyo maana hata mitaani wasomi walio wengi ni masikini na wanaoitwa hawakusoma uchumi wao unakwenda sawia

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Mzee baba sidhani kama ni kweli. Elimu ya chuo kikuu na level zingine za juu zimewekwa kwa makusudi kabisa.Uzembe wa mtu mmoja usijumuishe na wengine wote, ni sawa na tuseme walio ishia kidato cha nne ni vilaza hawana akili itakuwa si kweli.Kuna kazi zinahitaji mtu wa level ya chuo na mwenye degree!!! Na kila mtu ana nafasi yake.Ova..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

(R & L kwangu ni tatizo )

Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa Kitanzania ambae elimu yangu ni kidato cha nne, yaani nilifeli kidato cha nne.

Kwa sasa naishi maisha ya kawaida. Nimekuwa nikishangazwa sana na hawa binadamu ambao elimu zao zimefikia chuo.

Nimekuwa nikiwaajiri hawa viumbe katika kazi zangu lakini mambo wanayoyafanya naona ni bora nifanye kazi na kijana wa mtaani ambaye hana elimu yoyote lakini ana uelewa mzuri. Wamekuwa wanipa hasara na wamekuwa hawafanyi kazi vizuri kulingana na elimu yao.

Sasa Leo ndio nimeamini hawa viumbe ni madishi kabisa. Kuna kijana mpya ambae nimempa ajira ya muda mfupi kwa kipindi hiki cha corona "yeye ni mwanachuo wa UDOM"

Kwakuwa vyuo vimefungwa na kijana alikuwa anataka kufanya kazi na mimi nikaona sio mbaya acha nifanye nae kazi.

Tunavyofanya kazi, jioni huwa nampatia laptop ili kazi zingine akazifanyie nyumbani. Leo linanipigia simu eti nimepatwa na dharura ya ghafla nimesafiri kwaiyo nitarudi baada ya siku 4. Kibaya zaidi
 
Back
Top Bottom