Mkuu Mabullah96 fauta huu utaratibu,
1. Nenda mahakamani watakuandikia deadpoll au kama unaweza andaa mwenyewe then print(3) kwa legal paper. ghrama ya mahakamani haizidi 15,000/=. i.e. Ukienda kwa advocate gharama inakuwa juu kidogo.
2. Nenda Wizara ya Ardhi kazisajili deadpoll zako(3), gharama...
Nimeona CFD nikajua ni "Computational Fluid Dynamics", kumbe ni mambo ya trading and the likes. [emoji16]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Tatizo lako ni PUMBU JERO kwa wale tuliopitia boarding school wameelewa inasababishwa na uchafu pamoja na kubadilisha mazingira (Sehemu za baridi kuja zenye joto i.e. Mbeya kuja Dar).
Dawa ndo io apo Terbinafine Cream mi mwenyewe nishawahi kuitumia mkuu ni dawa moja matata sana!
Ikikosekana...
Huyu mtu wa kuitwq Mr. Mtiga Mungu amuweke sana! huyu jamaa ni fundi.
Juzi nmekutana na Madesa ya Chalange wa EKU, jamaa amecopy na kupaste ngoma za Mr. Mtiga.
Mkuu hii nakata mchana kweupe! African beuty sio sampling ya They don't care about us.
Load... vzr mafile yako mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha mbali sana mkuu [emoji23][emoji23]
Kuna siku sina hili wala lile na enjoy chapati zangu asee si wakaja Ngedere kuzichukua.. Cafteria ya pale block A CoET Ngedere wanaweza kukuliza [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiuhalisia Mbowe anatakiwa aachie madaraka chama kisonge mbele kumekuwa na manung'ununiko ya chini kwa chini na hii sio nzuri.
Kinadharia Cecilia hawez pambana na Siasa za upinzani against CCM. Mbowe atafia madarakani pale.
Kwa Physics:
Tafuta Notes za Mr. Mtiga ukikosa nunua mapamphlet ya Challange ya EKU yako vzr sana.. ukishasoma izoo notsi Umeshacover S.chand na Nelkon.. ww ni kusolve Roger Man Caster.
Kila la kheri Adv sio Lelemama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.