TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 11,202
- 30,773
Aliyekwambia kondom inazuia maambukizi ya ukimwi alikuongopeaameona bora mukose wote maisha.hakuwa tayari kuona bado unaishi ukiwa na afya nzuri.amegundua mtafarijana

Tayari.mkuu unaoWakuu habarini
Nina dem tuna kama miezi mitatu sasa, kipindi cha nyuma alikua akinisisitiza sana kutumia kinga kila tulipokutana kwa ajili ya mgegedo na nilifanya hivo.ila Kwa kipindi cha week moja maelewano yetu hayakua mazuri, jana amekuja geto ili tuyasuluhishe baada ya kumaliza tofauti zetu akataka nimgegede bila kinga nilimkatalia kwani sijamzoea hivo ila alileta fujo nyingi sana akisisitiza anataka dushe limuingilie nyama kwa nyama ikabidi nifanye hivo nimemshambulia peku usiku mzima
Sasa ameondoka kaniacha na mawazo sielewi lengo lake ni nini hasa hadi kukataa kinga
Aliyekwambia kondom inazuia maambukizi ya ukimwi alikuongopea
Kweli we ni Kichwa Tango!Wakuu habarini
Nina dem tuna kama miezi mitatu sasa, kipindi cha nyuma alikua akinisisitiza sana kutumia kinga kila tulipokutana kwa ajili ya mgegedo na nilifanya hivo.ila Kwa kipindi cha week moja maelewano yetu hayakua mazuri, jana amekuja geto ili tuyasuluhishe baada ya kumaliza tofauti zetu akataka nimgegede bila kinga nilimkatalia kwani sijamzoea hivo ila alileta fujo nyingi sana akisisitiza anataka dushe limuingilie nyama kwa nyama ikabidi nifanye hivo nimemshambulia peku usiku mzima
Sasa ameondoka kaniacha na mawazo sielewi lengo lake ni nini hasa hadi kukataa kinga
Usijali mkuu vidonge serikali inatoa bure kabisa hulipii hata miaWakuu habarini
Nina dem tuna kama miezi mitatu sasa, kipindi cha nyuma alikua akinisisitiza sana kutumia kinga kila tulipokutana kwa ajili ya mgegedo na nilifanya hivo.ila Kwa kipindi cha week moja maelewano yetu hayakua mazuri, jana amekuja geto ili tuyasuluhishe baada ya kumaliza tofauti zetu akataka nimgegede bila kinga nilimkatalia kwani sijamzoea hivo ila alileta fujo nyingi sana akisisitiza anataka dushe limuingilie nyama kwa nyama ikabidi nifanye hivo nimemshambulia peku usiku mzima
Sasa ameondoka kaniacha na mawazo sielewi lengo lake ni nini hasa hadi kukataa kinga
[emoji3][emoji3][emoji3]aiseeKULA VIZURI, FANYA MAZOEZI KISHA PUMZISHA MWILI WAKO.
Utaongeza siku za kuishi
Baada ya mwezi utaletewa ujumbe mahususi hazioni siku zake
Mimba yakushikishiwa teyari
HIV still doesn't have a cure and life still doesn't have spares ,Aliyekwambia kondom inazuia maambukizi ya ukimwi alikuongopea
Kihumbe😂😂😂 na lazima akilee hicho kihumbejiandae kulea kihumbe ambachi sio chako
Hahahaha mkuu una uwezo mkubwa wa kuvuluga mahusiano ya watu yaani jinsi ulivyo andika kama ulikuwepo eneo la tukio.Hapo sio ngoma...
Hio ni mimba umesingiziwa mkuu..
Hapo theory iko hivi.
Mlipokosana alikutana na kijamaa ambacho huwa kinamsumbua kumtongoza kwa mida mrefu..sasa akaamua kukikubalia ili apunguze maumivu ya kugombana na wewe..
Jamaa alipogusa tu mimba ikanasa.
Sasa akaona hilo li jamaa halina future akaona boya ni wewe wa kupewa zigo la mavi.
Akajifanya anataka yaishe akaja kwako ku-negotiate na wewe ukaingia king ukala mzigo kavu bila ndom..
Na mimba ndo inakuwa yako.
Subiri baada ya wiki 3 au mwezi top.
Utaambiwa siku hazionekani!!!
Hahaha jamaa kaeleza ukwel kabisa..Hahahaha mkuu una uwezo mkubwa wa kuvuluga mahusiano ya watu yaani jinsi ulivyo andika kama ulikuwepo eneo la tukio.