Vitabu vya muhimu na bei zake kwa kombi ya PCB

Ntafurah ukifankiwa

Kaka zako tushapita huko

Ni mateso , ila baadae kuna raha nyingi
Mkuu ntapambana na Mimi kama nyie ili nifike mbali kaka
Afu kunajamaa kanambia nipakue app ya msomi maktaba eti inanotsi Kali we unasemaje niipakue au nisimalize MB tuu nikakuta vitu shallow
 
Kwa Physics:
Tafuta Notes za Mr. Mtiga ukikosa nunua mapamphlet ya Challange ya EKU yako vzr sana.. ukishasoma izoo notsi Umeshacover S.chand na Nelkon.. ww ni kusolve Roger Man Caster.
Kila la kheri Adv sio Lelemama.
 
Mkuu ntalambana na Mimi kama nyie ili nifike mbali kaka
Afu kunajamaa kanambia nipakue app ya msomi maktaba eti inanotsi Kali we unasemaje niipakue au nisimalize MB tuu nikakuta vitu shallow
achana nayo

Chukua ya kulipia thl 2000 kwa mwezi

Hiyo ni ya kuptia ukiwa umechoka baadhi ya vitu wapo vizuri
 
Kwa Physics:
Tafuta Notes za Mr. Mtiga ukikosa nunua mapamphlet ya Challange ya EKU yako vzr sana.. ukishasoma izoo notsi Umeshacover S.chand na Nelkon.. ww ni kusolve Roger Man Caster.
Kila la kheri Adv sio Lelemama.
Wapi nazipata hizo notsi mkuu
 
mi h kunani ila ndugu zangu wote walosoma pcb nliwaambia muhame kama hamuwez wakaniona ndezi,,,sasa wote walipata Omari,,yani sifuri......pcb haihitaji ubishoo....electronics kipo kitabu cha mbele kizuri sana ata mi nakielewa
 
h kunan unaelewa kitabu cha electronics

Teh what is opamp so far
 
Back
Top Bottom