Recent content by qsndebile

  1. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada tafadhali

    mshauri asome certificate/diploma CBE au pengine (finance, banking, accounting etc)
  2. Q

    JamiiForums Tanzania ndio mara ya kwanza kuenda polisi

    Makosa ya madai hupelekwa CMA au mahakamani moja kwa moja, hapo alikuomba ili kutaka kukusaidia, coz anajua watanzania wengi hawaju sheria na wanaogopa polisiSiyo mbaya kwani hata wewe mwenyewe imeonesha haukuwa unafahamu sheria na huna uzoefu na polisi pia
  3. Q

    JamiiForums Tanzania msaada wa mawazo tafadhali...

    aonane na mwanasheria, atamshauri what to do
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Jaji aliyemvua Lema ubunge apooza miguu

    Na bado
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Airtel acheni uhuni! Uhuni! Wizi na ufisadi.

    TCRA nao wamenyamaza kimya kama hawapo??!!!
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kuprint LABELS,

    Call me at 0717084094
  7. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wameamua

    Nakuomba usijiunge na huyo dada achana naye, laa sivyo You are Gone..!!!
  8. Q

    JamiiForums Tanzania ITV na udhalilishaji wa wenzetu wenye ulemavu..

    Comment yangu Mimi nadhani hisia zako ndio zinakufanya uone kama unadhalilishwa, kwani hakuwaalika ili kuwasaidia bali nijuavyo mimi huwa anafanya kama "Walemavi Day" kwa hiyo ni sawa kuwaonesha na kuweka kipindi maalum kwa sababu siyo kipindi rasim ITV ndio maana kinaitwa hivyo. Na lengo ni...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania still does not recognise new Libyan Rulers

    Not only those things you get from Gaddafi but also borrowing from Africa Development Bank whose main contributor was Gaddafi
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Invitation to tender

    Naomba tuwasiliane 0717084094 au ndebile83@yahoo.co.uk, kwa ajili ya mazungumzo zaid
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Mwalimu J.K.Nyerere; Ghadafi Koma Damu Ya Watu Wangu Si Sawa Na Thamani Ya Mafuta Yako..!

    Hata waarabu walituchukua utumwani lakin sasa ni marafiki zetu, Pili Adui wa babu yako siyo lazima na wewe awe adui yako, ndo maana marekan na uingereza walikuwa maadui sana lakin sasa ni mtu na hawara yake Tatu Tanzania mmesaidiwa na Gaddafi si tu kwa kujenga miskiti na kutoa magari ya...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Mwalimu J.K.Nyerere; Ghadafi Koma Damu Ya Watu Wangu Si Sawa Na Thamani Ya Mafuta Yako..!

    Hata waarabu walituchukua utumwani lakin sasa ni marafiki zetu, Pili Adui wa babu yako siyo lazima na wewe awe adui yako, ndo maana marekan na uingereza walikuwa maadui sana lakin sasa ni mtu na hawara yake Tatu Tanzania mmesaidiwa na Gaddafi si tu kwa kujenga miskiti na kutoa magari ya ikulu...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Mohamed trans na moro best banned!!!!!!

    It was Mohamed Classic not Mohamed trans
  14. Q

    JamiiForums Tanzania GE2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Naomba muwe makini tu kama tulivyofanya kwa Masha pale Nyamagana-Mwanza. mambo yalikuwa tyt lakn mwisho wa siku kilieleweka
  15. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jameni hebu sijui lakufanya ushari PLZ

    Ushauri wa Babu wa loliondo ni mzuri ufanyie kazi. Cha msingi save pesa kisha nenda nae mkatekeleze majukum usimtume yeye peke yake kwa ishu muhim
Back
Top Bottom