Mohamed trans na moro best banned!!!!!!

Mohamed trans na moro best banned!!!!!!

Bajabiri ungerekebisha heading from Mohd trans to MOHD CLASSIC ili kuondoa upotoshaji.
 
Kingo i tried it ila imekataa,,,,ila asante i note it
Bajabiri ungerekebisha heading from Mohd trans to MOHD CLASSIC ili kuondoa upotoshaji.
<br />
<br />
 
Sumatra hawana lolote, wamekaa mijini zaidi wanasubiri ajali itokee ndo wafanye uamuzi.

Kwa watumiaji wa barabara ya kutoka Singida kupitia katesh mpaka Babati mjini, gari zinajaa kupita idadi, trafiki wapo na wanaona lakini hawachukui hatua.
Watumiaji wa barabara ya kutoka KITETO kupitia Matui kwenda DAR au DODOMA, wanasimamisha abiria mpaka kwenye viti, na pale NAKO kuna trafiki kama hawaoni. Toka Meatu kuja Shinyanga mjini uone magari yanavyojaza...

Yaani kwa ujumla hawa SUMATRA wapo kwenye barabara za lami tu.
 
Well hongera zao kwa ku"simamia" sheria but Someone anionyeshe basi lenye viwango vya huduma vinavyokubalika kisheria...kuanzia ubora wa mabasi,ubora wa huduma kwa wateja na vinginevyo
 
Back
Top Bottom