Jaji aliyemvua Lema ubunge apooza miguu

Taarifa kutoka kwa mpambanaji amenivutia simu muda si mrefu na kunipasha habari kuwa,yule Mtanzania mwenzetu aliyetoa hukumu ya kutengua ubunge wa Mbunge wa Arusha mjini amepooza mguu.

Sitaki kusema ni laana za wana Arusha,bali ni hali ya kawaida kwa wanadamu maana tumeumbiwa na maradhi pia.

Nawasilisha.

Kuna uzi kama huu ulikuwapo jana!
 
Mi naamini ni SIR GOD on work si unajua mungu asivyopenda dhuluma...ila kupooza ni adhabu nzri kuliko kifo kwani anaweza kupata muda wa kutubu maovu yake
 
Taarifa kutoka kwa mpambanaji amenivutia simu muda si mrefu na kunipasha habari kuwa,yule Mtanzania mwenzetu aliyetoa hukumu ya kutengua ubunge wa Mbunge wa Arusha mjini amepooza mguu.

Sitaki kusema ni laana za wana Arusha,bali ni hali ya kawaida kwa wanadamu maana tumeumbiwa na maradhi pia.

Nawasilisha.

Sauti ya watu ni sauti ya Mungu, na haki ya watu haipokwi inacheleweshwa tu. RIGHT IS MIGHT, NOT VICE VERSA!
 
Sio lazima kila mtu akubali ukombozi kabla nchi haijakombolewa, hata wakati wa kudai uhuru kuna watanganyika walikuwa upande wa wazungu, lakini uhuru ulipatikana.

Kimsingi hatuhitaji kila mjinga kuelimika ndo tukomboe nchi, tutafanya hivyo huku baadhi yetu wakiwa bado wajinga, CDM itawaelimisha kwa vitendo na hakika wataona tofauti ya mafsadi, wezi kuwa madarakani na CHADEMA ikiwa madarakani.
 
Hiyo ni Laana na Mungu kwake na mi naweza sema hiyo ni alert, kama anaakili, awaombe msamaha wana Arusha na aseme alitoa hukumu ile kwa haki au shinikizo kutoka juu, "Haki ya mtu huchelewesha, haipotei hivihivi!"
 
Twende kazi!!!!!!!!! Bado wa Segerea huwezi kudhulumu haki ya watu zaidi ya milioni 20 halafu Mungu akuangalie tuu hakujifunza kwa Hosns Mubaraki
 
Mungu amsaidie asife mapema ila aendelee kupoza kiungo kimojakimoja hadi rufani itakapotolewa hukumu,sisi+Mungu,wao+dola
 
Hii habari ni kweli na niliiweka jana lakini kwa msshangao mkubwa baada ya kufika pege ya pili ilifungiwa sijui kwasababu gani niliwauliza mods lakini mpaka sasa sijajibiwa...

Nasema kama watu walifunga na kuomba pia kuna wazee waliguna sana na Mungu anasema kisasi niachieni mwenyewe. Sasa hii sijajua ndo Mungu kaanza kulipiza akisubiri toba au VP? Ila kama ana hofu ya Mungu namshauri akatubu na asiogope wanadamu kwani hata akifa atakwenda kukutana na Mungu na ataulizwa maswali haya aliyoshindwa kutujibu hapa duniani
 
Nimtazamo wako ila kumbuka MUNGU siyo mwanadamu aseme uhongo nakumbuka wana wa Arusha walifunga na kusali kwa asiku 7 kufunga ni kujitolea dhabihu kama wewe ni mkristo unajua kila kitu kuhusu kunga na kusali kama ukumu ile ilikuwa ni ya haki sawa ila ugonjwa ni sehemu ya mwanadamu kwa hiyo basi msijiulize maswali mengi mkachoka bure hakimu wa Mnyika alitenda haki na Lissu pia alitenda haki

Naamini hao waliofunga ndio wale wale waliofunga pindi kamanda Chacha Wangwe alipotaka kuvuruga chama kwa kuhoji matumizi ya fedha za chama.
 
Taarifa kutoka kwa best wa karibu wa jamaa muda si mrefu kunipa habari kuwa,yule Mtanzania mwenzetu aliyetoa hukumu ya kutengua ubunge wa Mbunge wa Arusha mjini amepooza mguu.
 
Pole kwake kwa kuugua... Mwanyezi Mungu ampe nafuu mapema
 
Back
Top Bottom