Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,197
- 3,930
Mkuu pole sana kwa matatizo yaliyokupata.
Unajua vipaumbele katika maisha vinaweza tofautiana katika maisha.
Mara nyingi, unakuta mmja anafocus kwenye long time investiment,
na mwingine mara nyingi huangalia jinsi atakavyoweza kuishi vizuri kwa wakati huu.
Hilo ni tatizo ninaloliona hapo, sasa kuepuka future conflict, save, ukiona inatosha, basi nenda nakiasi ulichonacho then, mfanye unayotaka kufanya kwa pamoja.
Lapili, msamehe na usahau, kwa kuwa kazima simu, na hataki kuwasiliana nawe, wewe muache, kwani hukutenda kosa, na akipenda atakutafuta.
Tatu akikutafuta, mueleze ukweli, na kuwa hukupendezwa na hicho kitendo.
La muhimu, usitume pesa tana kwenye huo mradi, save, ikitosha, rudi simamieni mradi kwa pamoja.
Pole sana.
Full mahekima!!!
Vp dozi (kikombe) babu, bado unatoa?