Injini mswaki ni injini ambayo ina baadhi ya vifaa na baadhi hamna. Inakuwa na imefungwa vizuri na cylinder head yake na cover, piston, block camshaft na vitu vyote ya ndani coil na plugs. Lakn haina accessories kama oil pump,nozeli,D4, water pump, na vitu vingine kama hivyo vya juu ila ndani ni...