Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Fact:

The only three people a woman attentively listens to and obeys sincerely and does exactly as they say is a DOCTOR, the PASTOR and PHOTOGRAPHER, otherwise if you're neither of the three, sit down and be strong...
 
Majivuno Wakati Mwingine Hayafai, Jamaa Mmoja Alipanda Daladala Mara Simu Ikaita,, Jamaa Akaitoa Mfukoni Kuangalia Ni Mke Wake Anapiga!! Jamaa Kwa Kutaka Kujionyesha Akaweka Loud Speaker Jamaa Akamuuliza Mke Wake."Saivi Tu Umenimiss Mke Wangu Au Tatizo Nini Niambie Basi Babby" Mke Wake Akamjibu "Sijakumiss Wala Nini Nataka Kujua Kwanini Umevaa Chupi Ya Mtoto" Abiria Walicheka Hadi Wakalaliana!!! ....www.wasasa.
hahaha aiseee
 
Mimi nilikuwa wa pili kutoka kushoto, wa pili kutoka mwisho na wa mwisho kabisa Je wewe?
IMG-20180324-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom