Njia Rahisi Kukwepa Speed/Traffic Camera

Njia Rahisi Kukwepa Speed/Traffic Camera

Unajidanganya sana. Hiyo app haifanyi kazi in real time, inachofanya ni kukuonyesha 50 nyingi zilipo na tochi zilizorepotiwa kuwepo wakati wana mark uwepo wa tochi, sasa we jidanganye unyooshe goti afu uone unavochangia pato la Taifa kwa njia ngumu.
jambo Usillolijuas bwanea. Nime downlord , Hii ni Ndafu!! Vibao vvya SL na camera sio siri ya kufichwa. Lengo ni kuepusha ajali zinazokwepeka.
 
Huo si uhalifu. Camera haitakiwi kufichwa eti hadi askari anapanda kwenye mti. Mbona ulaya kila kwenye camera kuna alama inayo onyesha? Au na wao ni wahalifu?

Shida ni kwamba huku tunaishi maisha ya kuviziana, kukomoana na kutaka sifa kwa wakubwa na siyo kutimiza wajibu
 
Hii ni muhimu sana hasa kwa zama hizi za risit ya EFD maana kwa sisi wa Dar utajikuta umenyanganywa leseni yako sababu ya makosa kama haya.

Lakin pia inasaidia sana kwa wale tunaosafir miendo mirefu.

Mi natumia Radars France – Applications Android sur Google Play

Unachofanya ni kudownload hiyo app kwenye simu yako ya android

Inauwezo wa kukuonyesha Camera zilipo, so unachotakiwa kufanya ni ku iset tu ili i scan njia nzima halafu ndo uanze safari, na unapokalibia kuifikia Camera, basi hiyo app inatoa mlio wa kukutahadharisha na inaanza kupiga kelele ikiwa umbali wa zaidi ya mita 350 toka ulipo mpaka kwenye camera.

Na siku hizi unapowaona Traffic basi ujue camera haipo hapo, ni either baada ya eneo au kabla ya walipo wao.

Asante na niwatakie safari njema.
Mkuu nashukuru sana, hii kitu nliitafuta mda
 
Ngoja niijaribu only kwa kutaka kuhakikisha. .Mimi napenda sana kufuata sheria za usalama wa barabarabi kwasababu ni kwa usalama wangu. ....

sasa kama huyo msimamia sheria mwenyewe anakutengenezea mazingira ya wewe kuvunja, sa sie tufanyeje? alafu wewe ukute huendeshi gari au ni traffic police
 
Mkuu nashkuru hii application leo imenisaidia sana
 
Yaan nimejikuta nasoma nakubaki nacheka kwa comments za baadhi yenu, watanzania bado sana, cheki online utakuta mpaka gadgets za kuditect trafic torch, na zinauzwa madukani na mitandaoni, last.time nilinunua $100.00 South Africa.
Naona uelewa wa baadhi yetu ni mdogo sana na hawataki kufikiria nje ya box, nahakika kwa yeyote either hamiliki gari au sio mtu wa kusafiri mara kwa mara hawezi kuona wala kuelewa maana ya hii app au hizo gadgets.
Wenzetu wanafikiria zaidi kurahisisha maisha sio ku complicate.

Udereva ni skills zaidi kwa dereva muhusika na sio vibao vya speed limits wala matuta barabarani.

Umeishawahi kujiuliza kwanini nyerere au pugu road haina kibao cha speed limit wala tuta?

Asante na niwatakie safari njema 🙂
 
Hii ni muhimu sana hasa kwa zama hizi za risit ya EFD maana kwa sisi wa Dar utajikuta umenyanganywa leseni yako sababu ya makosa kama haya.

Lakin pia inasaidia sana kwa wale tunaosafir miendo mirefu.

Mi natumia Radars France – Applications Android sur Google Play

Unachofanya ni kudownload hiyo app kwenye simu yako ya android

Inauwezo wa kukuonyesha Camera zilipo, so unachotakiwa kufanya ni ku iset tu ili i scan njia nzima halafu ndo uanze safari, na unapokalibia kuifikia Camera, basi hiyo app inatoa mlio wa kukutahadharisha na inaanza kupiga kelele ikiwa umbali wa zaidi ya mita 350 toka ulipo mpaka kwenye camera.

Na siku hizi unapowaona Traffic basi ujue camera haipo hapo, ni either baada ya eneo au kabla ya walipo wao.

Asante na niwatakie safari njema.

Kwa nini uihalifu sheria na kujiingiza matatizoni kwa ujanja wa kijinga kama huu.., unawahi wapi?
 
Love this debate hahaha
 
Huo si uhalifu. Camera haitakiwi kufichwa eti hadi askari anapanda kwenye mti. Mbona ulaya kila kwenye camera kuna alama inayo onyesha? Au na wao ni wahalifu?
trf.jpg

trf1.jpg
 
Kamera na rada za polisi za kudhibiti mwendo zinakamata umbali hadi wa mita 1,000.
Kwa hiyo app yako utakuwa ushaingia kwenye anga zao.
Jiandae na faini tu.
Na ukipita mahali ambako hakuna mawasiliano ya internet inakula kwako big time.
Mita 1000 ni Km moja mkuu be informed. Hakuna tochi yenye uwezo huo
 
Kuna watu humu wanajifanya wajuaji kumbe hamna kitu wanajua.
 
Kwani kutii sheria kuna tabu gani jamani??
 
Maskini yule dereva wa lucky vicent angelikuwa hai yeye na watoto wetu, kama asingelisoma ushauri huu au kama huu kutumia simu ili kuvunja sheria.
 
Najua ipo siku nitayavagaa tu lakini sijawahi kamatwa pamoja fujo zangu zote barabarani
 
Unatakiwa ukamatwe wewe
Anatakiwa kukamatwa mara moja.Kwa nini wasituletee Teknolojia ya kusense speed limit mbele yako,Zebra cross ahead,sharp corner ahead nk.Yaani kusense hatari zilizo mbele yako?
 
Kamera na rada za polisi za kudhibiti mwendo zinakamata umbali hadi wa mita 1,000.
Kwa hiyo app yako utakuwa ushaingia kwenye anga zao.
Jiandae na faini tu.
Na ukipita mahali ambako hakuna mawasiliano ya internet inakula kwako big time.
Mita 1,000 ni uongo mkubwa MNO! Kwanza walio wengi wanatumia application moja ya simu za mkononi. Hizo kamera za simu haziwezi kwenda huo umbali wa kilomita moja, hata kwa muujiza!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom