Protocol37
Member
- Mar 18, 2016
- 32
- 19
- Thread starter
- #21
Yes tuambizane maana mwanzo nilipata hasira ila inanibidi kutafakari zaidiWivu mwingine haufai had mwanao
Yes tuambizane maana mwanzo nilipata hasira ila inanibidi kutafakari zaidiWivu mwingine haufai had mwanao
[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144] [emoji144] Pole kwa divorceDuh me enzi zangu nilipata wivu hivyo ila nikaamua niitumie vizuri nafasi.
Nikasubiri mtoto kaanza kuongea najua baba yake anamsikiliza sana so nikitaka kitu nakaambia basi haraka sana tunapata.
Japo tulitengana na baba yake ila haka ka njia bado huwa naka apply siku moja moja na bado kana nguvu
acha uchokozi bro![emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144] [emoji144] Pole kwa divorce
Nimemaanisha[emoji30] [emoji30] [emoji30]acha uchokozi bro!
[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144] [emoji144] Pole kwa divorce
Wababa wengine waelewa hadi rahaYeah I can feel the situation
Mmh mtoto wa miezi 3 (mitatu)?!Ni stage kwy ukuaji wa watoto apambo mtoto wa kike anakua sexually attracted kwa baba yake mzazi na mtoto wa kiume anaku sexually attracted kwa mama yake! Ni kawaida!
Nipe hongera kwa kuacha[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144] [emoji144] Pole kwa divorce
Haya ni mawazo hatari sana katika ndoa (RED). Ukiolewa na mawazo hayo, ndoa itakushinda tu hakuna jinsi. Kila mtu ana wajibu wake katika ndoa. Kupika ni jukumu la mama na si la baba!!!Jitahidi kubalance kati ya hao wanawake wawili ulio nao. Mdekeze mke wako, ikiwezekana mpikie chakula kwa mikono yako mwenyewe siku moja moja, ikiwezekana hata mara moja kwa wiki mtoe outing hat kama ni kunywa chai na kahawa lakini iwe nyinyi wawili tu. Kuna wanaume wanasahau kabisa mke kukiwa na mtoto.
Mimi ilitaka kunitokea hali hiyo kwa wife nikawa kauzu kuliko dagaa baadae akachoka mwenyewe.Wivu mwingine haufai had mwanao
Anatafunwa?au kiazi manaake nini?Duh[emoji15] wewe kiazi kweli
Yap! Hujui kuna dogo alivunja ungo India akiwa na mwaka etc! Ok hiyo conflict kwa uyo dogo imeanza mapema nadhani genetically inawezekana pia km amesusa maziwa ya mama yak kwa sababu mbalimbali huwa wana shift Upendo kwa mzazi mwingineMmh mtoto wa miezi 3 (mitatu)?!
Kiazi gan usifananishe viazi na mambo ya kijinga hayaDuh[emoji15] wewe kiazi kweli