Eti ukila fedha ya rambirambi unakufa?

Eti ukila fedha ya rambirambi unakufa?

Hakuna kitu kama hicho bhana! Mbona li Lukosi lipo linadunda tu mitaani!
 
yani kwa mila zetu huku upareni kama umekula hela ya rambi rambi au ulikua mchawi ukifa tunakuchimbia kaburi refu kama mita 25 hivi usikae kabisa karibu na dunia
 
Mbona viongozi wa simba hawajafa mpk saizi

Na walikula rambirambi za mafisango

Kama kudhurika basi wamatopeni wangedhurika kwanza
 
Back
Top Bottom