NDOA ni taasisi inayopunguza stress, vifo na magonjwa. Pasipo ndoa hakuna taifa, familia, serikali, dini. amri ya Mungu tuzae na kuongezeka na kutawala vyote. Miss chagga hivyo vimeo vichache kwa sample yako visikukatishe tama. Ndoa ni tamu aisee usiseme....Nakuonbea uwe na ndoa nzuri (heaven on...
Pole sana kaka. je wazazi waliongea wakiwa ok au bia ndio ziliongea. Mzazi mwenye hekima hawezi kuongea namna hiyo kwa mtoto wa mwingine unless unawasingizia.
Ushauri wangu wafuate tena katika mazingira tulivu ongea nao kwa hekima na staha, wape shule taratibu.
tuko pamoja Sonia. mtoto anatakiwa apate malezi na mapenzi ya wazazi wake. sishauri kabisa mzazi kufany jambo hilin unapoteza kabisa mahusioano ya karibu na mtoto..then baadae akikususahau au kutokuwa na muda nawe wala usijilaumu. zaa wewe lea wewe....usikimbie majukumu mzazi
bro jichunguze kwanza wewe, unaweza kuwa tatizo kwa wife wako kwa tabia za kukera na yawezekana amekuonya amekueleza muda mrefu nawe haubadiliki. maamuzi ya kuachana sio mazuri ...yaweza kuwa hasira/emotions za muda. pata muda wa kutulia. angalia mustakabali wa watoto
pia waone viongozi wa...
Masikini Ole Sendeka haya matokeo yamemuacha UCHI WA MNYAMA, Sijui ataweka wapi USO wake kwa aibu hii?!!
Hongera sana mh. Ole kwa kupambana hadi ulipo kisiasa...Uso wake uko ktk sebule zetu (tv) kuliko hao wenye Phd/first class. ole is risk taker wasomi wengi so analyitical kila kitu analysis...
hili ni shirika la kikristo lililoanzishwa na Mchungaji kwa ajili yakusaidia jamii. Policy yao iko wazi kuhusu ajira lazima uwe committed Christian ( sio mkristo mlevi, muhuni, mwizi na sifa zake zinajulikana) kwani uuliza pia reference toka kwa . mchungaji wako au kiongozi wako wako wa kanisa...
Safi sana niko nyuma yako mkuu ngoja nimaloze kusoma
Malafyale ubarikiwe sana kwa kutuhamasisha. hii shule imekuja kwa wakati.. kwa sasa naona nisifanye tena over analysis muhimu ni kuchukua hatua. Fursa za kilimo na ufugaji ni nyingi sana Tanzania vijana tuzichangamkie mapema kabla hazijaja...
]Wana maadili,kifupi wife material ila wana hasira sana ,wanajiamini,wakorofi ,ukimkosea anaweza akakuchomea nyumba ni hvyo hao ni mashost zang sana
nakubaliana nawe on positive point above.. nyongeza ukimpata bint wa kimeru mafanikio kimaisha yako mlangoni ww tu uyazuie kwan ni wachapakazi...
mwekezaji wa ndani..kkwan kanisa au mchungaji haruhusiwi kuwekeza katika eneo hilo. thanks kwa taarifa ili tukifika Bagamoyo tupate sehemu murua yakupumzika.
Naona unafanyia makampuni ya bia kampeni humu. kwangu hakuna haja yakusubiri utafiti wowote hapa naona unahamasisha ulevi kwa dada zetu mnaotafuta watoto. Msidanganyike na uongo huu, Mungu atawasaidia kuwapa watoto wazuri kwa wakati wake.
zab 120:01 katika shida yangu nalimlilia Bwana naye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.