Mkasa ulionikuta COCO beach usiku

Mkasa ulionikuta COCO beach usiku

Polisi wetu na uzembe wetu!

Polisi anapofika hasa mda usio wa kazi na hana uniform ni lazima ajitambulishe na atoe ID ndipo afanye kaZi yake. Hapo kwa vile wengine tuna uoga basi nao wanachukulia huo upenyo na kutubabaisha. Ungemuuliza hizo detail, ndipo afanye yake.

Polisi wanatumia sana ujinga wetu kutunyanyasa 'vile tu ana cheo cha upolisi' wakati ni kazi ka kaZi zingine tu. Pole sana, pia ukute hiyo pisto ilikuwa toy tu, kwa sbabu polisi hawezi fanya huo upuuzi wa kuload ammo kwa ajili ya leseni. Next time jua haki zako kabla ya arrest

hahahahahaaaaaa! Uko serious mkuu au waongelea nadharia tu, ni polisi wa Tanzania hao ubishane nao? Anaweza hata akakutandika risasi na asifanywe chochote!

Hivi aliemuua David Mwangosi amechukuliwa hatua gani? Na mkuu wake aliekuwepo hata katika eneo la tukio si ameishia kupandishwa cheo!

Ni kweli hizo ni haki za raia lakini hapa kwetu hazifuatwi na ukijifanya kujua wanakupoteza tu hawa watu!! Kwanza wengi wao hawana akili kabisa.
 
Next time usiwe unavimbia bunduki na kijisifu "eti"ukamkomalia ni ujinga,sasa hivi ungekuwa marehemu kwa kiburi cha kumwona demu wako pembeni
Swala la bunduki kuwa toi au ya ukweli unatakiwa kujuwa baada ya kutii amri ya mwenye moto!!!!

Umeongea point sana.huyu jamaa kachungulia kaburi alafu anajisifia kidume.yaaan next time ukirudia umeondoka baba.

Hugo demu atalia tu siku mbili atasahau na kuendelea na bwana mwingine.wacha ujeuri Wa kinjekitile ngwale.unapga konzi ncha y mkuki!!
 
Kama majambazi wangekuwa wanajua hivyo wasingekuwa wanavamia watu.

Tofauti kati ya mimi na ww ni matumizi ya misamiati ya mwizi, jambazi, kibaka, tapeli na polisi. Hivyo kwa hii hadithi iliyoongezwa chumvi wala siwezi kufikiri km ww.
 
Wewe saa mbili kwa sehemu za dar ni hatari, tena kwenye sehemu za starehe? wewe utakubali vipi mwanaume mwenzako anakuwekea bastola kichwani?

wewe mgeni hapa mjini?? saa mbili?? hata manzese au uwanja wa fisi sina haja ya kubeba bastola....
 
Umesema coco beach ndipo ulipaki na mda ni usiku huyo police anafata leseni ya nini mda huo na eneo hilo hata mimi siamini hii story yako.
 
Siku ingine utauliza haya maswali ukiwa ahera. Hiyo ni bongo, huyo bwana angekua kalewa kidogo tu.kwasasa tungekuita marehemu
 
Mod post kama hivi za zakutunga na kuchafua jeshi letu.It's the usual complaint system does good, system is abused.

Nna mashaka na upeo wako...nani atunge hiyo..? Na nani asiyejua cocobeach mambo hayo yapo...kama wewe ni askari basi usitetee uovu wa baadhi ya askari wabaya..binadamu wote si sawa...kwa iyo hata kwenye polisi wapo wabaya ...fact is fact...mi napajua pale cocobeach hata kwenda siendi hata unilipe...wizi mtupu pale na kutishana maisha ...
 
Mkuu huyu jamaa nafikiri ni mmoja wao. Ni mara nyingi post zinazoonesha uovu wa jeshi letu la polisi huwa anazipinga tena kwa jazba na hata kutumia lugha chafu hapa.

Ukweli utabaki kuwa jeshi letu limekuwa so corrupted in a way that we can never trust it again labda libadilike. Kwa sasa hivi no trust! I mean zero!
 
ungekuwa peke yako ungempa kirahis tu lakn baby akiwa pemben lazma ujikakamue tu
 
polisi ndio majambazi... kuwa makini sana hasa sehemu kama coco

kama unaweza nenda pale mchana na usiku ingia sehemu hata kama ni expensive lakini zina formal security zinazoeleweka

kama unaweza kwenda coco, basi hata spliway unaweza kwenda
 
Kukwambia yeye polisi haikutosha umuamini kuwa ni polisi,ulipaswa ujiaminishe kwanza either kwa kumwambia atoe kitambulisho!au aite wenzake ambao group la watu huwa ni ngumu kufanya identify theft ndio maana yeye mwenyewe aliweza kirahisi kuku deceive na kujifanya polisi
 
Hii kitu umetunga na kama sio ya kutunga basi wewe ni kilazaaa mpenda sifa za kijinga...mtu kakuwekea cha moto halafu bado unakomaa???
 
Umeongea point sana.huyu jamaa kachungulia kaburi alafu anajisifia kidume.yaaan next time ukirudia umeondoka baba.Hugo demu atalia tu siku mbili atasahau na kuendelea na bwana mwingine.wacha ujeuri Wa kinjekitile ngwale.unapga konzi ncha y mkuki!!

for sure wangu. yaani hapo kamdindia huyo mchzi kamkuta wangekuwa wale wazee wa kutaka hela zao wangemfanya kama yule sister wa kikatoliki
 
for sure wangu. yaani hapo kamdindia huyo mchzi kamkuta wangekuwa wale wazee wa kutaka hela zao wangemfanya kama yule sister wa kikatoliki

Me nlipokua nasoma adi nlikua naogopa.jamaa anaonekana anaangalia sana mamuvie ya kihindi.hats miezhaijapita tangu wamshut yule sista jamaa anarudia the same mistakes.yaan leseni ikutoe roho!!?

Unawapa tu maana uwezo Wa kutafta ingine upon.alafu unaangalia na mazingira waliyokutaitia.yaan ndugu nakushauri usirudie tens hako kaushujaa kaka.katakutokea puani.bongo kama ulaya miguu ya kuku n'jen'je.wakikuotea hao watu kua mpole.apo angekushuti na kupotea ungepata nini sasa??yaaan dnt try this again.
 
Mkuu kwa nia njema tu, naomba uni-pm namba yako, halafu mimi nitakutumia picha ya leseni zangu zote mbili kupitia whatsapp ili uamini

ni kweli kuna kauzembe hapo tra, hata mimi nilirudi na lesni yangu maana hawakunidai...
 
Uache kufanya ngono kwenye gari...nisamehe kama nimetafsiri vibaya hii story yako..siku nyingine wale vijana wa Shigongo watawapiga picha itakuwa aibu!

Hata wazo la upuuzi huo sikuwa nalo, kwa nini ukafanye ujinga kama huo coco? Utakua unatafuta matatizo mkuu, mimi nilienda kupunga upepo, na kama ni kweli angenifuma nafanya ngono sidhani kama angeniruhusu niondoke kirahisi.
 
Nna mashaka na upeo wako...nani atunge hiyo..? Na nani asiyejua cocobeach mambo hayo yapo...kama wewe ni askari basi usitetee uovu wa baadhi ya askari wabaya..binadamu wote si sawa...kwa iyo hata kwenye polisi wapo wabaya ...fact is fact...mi napajua pale cocobeach hata kwenda siendi hata unilipe...wizi mtupu pale na kutishana maisha ...

Talking nonsense solves no problems, as everyone knows,so why is it unjust to deprive you of the right to speak?
 
Hata wazo la upuuzi huo sikuwa nalo, kwa nini ukafanye ujinga kama huo coco? Utakua unatafuta matatizo mkuu, mimi nilienda kupunga upepo, na kama ni kweli angenifuma nafanya ngono sidhani kama angeniruhusu niondoke kirahisi.
Pamoja na ujasiri siku nyingine kuwa makini!!!!
Kama ni gap alikupa wakati anabadili magazine, we ukamuacha mpaka kamaliza na ku load; ujasiri sio kukomaa na bomba!!!!!

Utakufa mkuu kuwa makini!!!!
 
Back
Top Bottom