Mapenzi yanauma kuliko kufukuzwa kazi, au kufanya kazi alafu ukazulumiwa, nisaidieni wana jf pls

huelewi kivipi ngojea ukioa utajua tu! Matatizo ya mkeo huongelewa ukweni ndo maana akikuudhi unaweza ukamwambia aende kwao,

aoe mara ngapi ana mke na watoto..........

Kila tatizo likitokea wewe huyooooo unakimbilia kwa wakwe hao wakwe
si watachoka hawana mambo mengine zaid ya kusluhisha migogoro yenu
 
bro jichunguze kwanza wewe, unaweza kuwa tatizo kwa wife wako kwa tabia za kukera na yawezekana amekuonya amekueleza muda mrefu nawe haubadiliki. maamuzi ya kuachana sio mazuri ...yaweza kuwa hasira/emotions za muda. pata muda wa kutulia. angalia mustakabali wa watoto
pia waone viongozi wa kidini kwa ushauri. hakuna linalomshinda Mungu
 
Nimeandika ujumbe huu nipo sebuleni nna mawazo yasiyoelezeka in short nataka nitengane na mke wangu niliyezaa nae watoto wawili na sababu ni kwamba anataka uhuru kwamba mimi nambana wana jf wote mnaojua id yangu na msiyoijua naombeni mnisaidie kimawazo nimeshindwa kuandika kwa kirefu sababu nina msongo sana wa mawazo jamani naomba mnishauri hata namba naandika ni 0686 100071 pls pls nisaidieni nipo njia panda moja mbaya sana nisaidieni

Waitie wazazi wake aeleze uhuru anao taka. pili pima madhara ya uwo uhuru na hasara zake kwa watoto pitisha uwamuzi usimchekee.
 
Nimeandika ujumbe huu nipo sebuleni nna mawazo yasiyoelezeka in short nataka nitengane na mke wangu niliyezaa nae watoto wawili na sababu ni kwamba anataka uhuru kwamba mimi nambana wana jf wote mnaojua id yangu na msiyoijua naombeni mnisaidie kimawazo nimeshindwa kuandika kwa kirefu sababu nina msongo sana wa mawazo jamani naomba mnishauri hata namba naandika ni 0686 100071 pls pls nisaidieni nipo njia panda moja mbaya sana nisaidieni

Ki ukweli kutoka moyoni pole sana yaani mimi na feel jinsi unavyoumia kwa sababu na mimi niko njia moja kama wewe, lakini Mungu ni mwema huwa yanaisha weather in negative or positive yatapita tu nikujipa time.
 
Nimekuwa nikiona watu wengine wakifanya hivyo mimi sijawahi kukosana na mke wangu, zaidi ya mambo madogo ambayo yanarekeibishika papo hapo.

Ha ha haaaaa asee!!!!!

Hebu weka mfano wa tatizo linalokuingiza bafuni kuoga kwa safari ya ukweni kumsemea mkeo!!!!!!
 
Hujaelewa we binti siyo kila tatizo lazima uende ukweni kama unaona hakuna suruhu lazima wazazi wake wafahamu, ndo maana sikuhizi mnaoana na kuacha na kama kuku, hamfati mila zenu mambo ya ndo muwe mnawauliza watu wazima wanayatatuaje badaya ya utamaduni wenu wa kukimbilia kwa marafiki au viongozi wa dini.

aoe mara ngapi ana mke na watoto..........

Kila tatizo likitokea wewe huyooooo unakimbilia kwa wakwe hao wakwe
si watachoka hawana mambo mengine zaid ya kusluhisha migogoro yenu
 
Uhuru gani anaotaka, ungeweka wazi kwani inawezekana ni kweli unambana sanaaaa kama mke wa mwarabu wa saudia, uhuru gani anaotaka?
 
Nimekuwa nikiona watu wengine wakifanya hivyo mimi sijawahi kukosana na mke wangu, zaidi ya mambo madogo ambayo yanarekeibishika papo hapo.

Wewe unayekebishana na mkeo na hao wanaoenda kwa wakwe kuwasemea wake zao kwa mtazamo wako nani yuko sahihi!!!!!?????
 
Hujaelewa we binti siyo kila tatizo lazima uende ukweni kama unaona hakuna suruhu lazima wazazi wake wafahamu, ndo maana sikuhizi mnaoana na kuacha na kama kuku, hamfati mila zenu mambo ya ndo muwe mnawauliza watu wazima wanayatatuaje badaya ya utamaduni wenu wa kukimbilia kwa marafiki au viongozi wa dini.

Halafu wakishafahamu ndio tatizo litaogopa wakwe na kukimbia au!!!!?????
 
Nimeandika ujumbe huu nipo sebuleni nna mawazo yasiyoelezeka in short nataka nitengane na mke wangu niliyezaa nae watoto wawili na sababu ni kwamba anataka uhuru kwamba mimi nambana wana jf wote mnaojua id yangu na msiyoijua naombeni mnisaidie kimawazo nimeshindwa kuandika kwa kirefu sababu nina msongo sana wa mawazo jamani naomba mnishauri hata namba naandika ni 0686 100071 pls pls nisaidieni nipo njia panda moja mbaya sana nisaidieni

Hebu tafuta majibu ya maswali kama haya kabla ya kuamua next step katika mahusiano yenu:
1. Uhuru wa kufanya nini?!; 2. unambana sana kivipi?! 3. Je are you too possesive (wivu wa kupindukia)?! 4. Je mnaaminiana vya kutosha?! 5. Je mna mahusiano ya kirafiki au ni kwa sababu tu mko katika ndoa?! 6. Je unamshirikisha katika maamuzi ya kifamilia?! je huwa unampa nafasi kumsikiliza mawazo yake katika mambo yenu au unampuuza puuza tu kwa kuwa ni mwanamke?! 7. Je una michepuko ambayo kaijua sasa anataka kufanya malipizi?! 8. How strong are you characterwise kuweza kuchukua maamuzi rational BUT hard decisions?! 9. Are you a religious person au ulibatizwa tu?! 10. Je uko karibu na Wazazi wako na wake?! wadhamini wa ndoa je?! Ukoje na viongozi wa kiroho? haya ni makundi muhimu sana wafuate uwasimulie taratibu na kuwasikiliza kwa makini sana; watakusaidia sana.

Consult your innerself; isikilize dhamira yako utapata njia ya kutokea. Uvumilivu ni utakusaidia.
Mungu akupe nguvu na akubariki; You shall overcome.
When the going gets tough; the tough GET going. Piga moyo konde mtoto wa kiume.
 
Back
Top Bottom