Sifa za Binti wa kimeru

Sifa za Binti wa kimeru

Status
Not open for further replies.
wanajiamini xana, mpende, mjali na usije ukamsaliti, utamfaidi xana. mi mwnyw nina xamburaa wangu nampenda xana kwakweli.
 
Karibu shemej umeruni!wakorofi,jeuri wanahasira,hawapendi kutawaliwa wavumilivu na wakarimu sana
 
Wabaguzi kama wewe si kabila lao, wakorofi na rahisi kukasirika, wasiri sana, waaminifu kwenye ndoa zao, hawataki muingiliano wa makabila mengine na kuoa kwao kama si Mmeru watakudharau sana, na wakikasirika waweza kufanya lolote baya

Command asili yao. Hawajatulia wazazi wao ni akina Palagyo. Mungure.Aikieli.Minja Nyiti etc but mapnz hawajui ila kugegedana wanajua
 
Akishaolewa kukusaliti ni mwika. Ila mshahara wako unauleta mezani ndo akutolee kidogo ya kwenda kuonja chimpumu na chenchi urudishe nyumbani.
 
Akishaolewa kukusaliti ni mwiko. Ila mshahara wako unauleta mezani ndo akutolee kidogo ya kwenda kuonja chimpumu na chenchi urudishe nyumbani.
 
wakorofi hasa wanapokuwa maeneo yao ya arumeru.na mara nyingi hawapendi kuolewa nje ya wilaya yao
 
We ushaoa uko au ndo unamtisha??


Hapana sijaoa huko ila nilipokuwa naishi Arusha nilitoka na mabinti wa kimeru kama watatu na wote walikuwa hivyo (walitahiriwa) nilopo peleleza nikaambiwa ndiyo asili yao.
 
Wana maadili,kifupi wife material ila wana hasira sana ,wanajiamini,wakorofi ,ukimkosea anaweza akakuchomea nyumba ni hvyo hao ni mashost zang sana
 
]Wana maadili,kifupi wife material ila wana hasira sana ,wanajiamini,wakorofi ,ukimkosea anaweza akakuchomea nyumba ni hvyo hao ni mashost zang sana[/QUOTE]

nakubaliana nawe on positive point above.. nyongeza ukimpata bint wa kimeru mafanikio kimaisha yako mlangoni ww tu uyazuie kwan ni wachapakazi hodari sio wavivu. mpende mjali pesa weka mezani mpange bajet pamoja utafaidi sana ndoa..

kwasha nkwe
 
Ukimzingua tegemea vita ya ngumi, fimbo na visu. Wanapenda Wazungu
 
karibu bana uwe shemeji yetu!
Dada zetu ni wazuri sana ukiwa mchapakazi na ukiishi nao vizuri!
be good to them they will be good to you!
Otherwise :fencing:Itakuwa kawaida saana!
 
Ni wazuri wa sura, ni wanajua kuchanganya wanaume, hawajua kukaa na ndoa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom