Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,957
Utamu wa tra unaujua au unausikia mkuu,hasa uwe kamishna,kila rushwa inayopigwa ya maana una sehem yako,mkakati wa kitilya kubaki pale ulikua mzito,bahati mbaya tu kwake aliyekua kampa uhakika alifariki.
Kufanya kaz gvt kuna utamu wake hasa ukiwa bosi,jiulize kwa nini watoto wa vigogo wasiendeleze miradi ya wazee wao lakin wanataka kaz serikalini,sehem nyeti!wanajua raha yake.
Sure mkuu, si TRA tu bali hata katika taasisi nyingine za serikali hawa watu wanakuwa kunguni kabisa waking'ang'ania tu. Cha kusikitisha ni hao watoto wao wamefeli shule za nje wakirudi tu vimemo vinawapa kazi katika taasisi hizi za serikali. No wonder ndiyo maana they are non-performing institutions!!!! Brain zinaajiriwa Private!!!! Si tunaona jinsi gani vijana wadogo with brains wana shine huko private?? Wanafanya mambo makubwa sana!!!! Sub-standards nyingi za vibosile huko serikalini!!! Ni wachache wao with brain ila kwa culture hazisikilizwi!!!! Kwanza junior hawezi shauri boss, tehe tehe!!!