Wanawake wengi walioolewa ni wepesi

Wanawake wengi walioolewa ni wepesi

Hii sasa ni dharau kwa mama zetu.
Simplicity kwahyo hayo uliyoyaandika uliyaona kwa mama yako pindi baba yako anaposafiri?
Kama mama yako alikuwa rahisi kiivyo usichukulie wate kuwa ndio walivyo. Hyo ilikuwa tabia ya mama yako tu mkuu

Wewe ni kumma kwa sababu hata sielewi unataka nini. Wewe unataka niandike nini humu? Mie nimeandika experience, isitoshe nimesema wengi sio wote, wengi inaweza kuanza na 2 nakuendelea, Wewe unataka mama yako awepo kwenye kundi au unajua yupo? Mattako kweli wewe.
 
ukiona hivyo ujue misuguano ndani ishajaa na wameshindwa resolve, unachotakiwa fanya mkumbushe rafiki yako aplay part yake , kukiwa hakuna misuguano mwanamke hawez waza huo upuuzi wa kudisturb wengine ikitokea ni very exceptional , wengine wanakwambia ga ukiona mwanamke anacheat kuna point of no return aliipita wakati mumewe kamuignore, akiwahi iona wala mawazo ya kucheat yanaisha.
Wanaume jitahidini wake zenu wasifikie hiyo point of no return ndani ya ndoa yenu.
 
Wewe kweli kumma. Unalazimisha kitu ambacho hakiwezi kutokea, halafu imagination za kijinga kwa kudhani mie nina tumbo kubwa. Unachopinga na kunitukana mimi ni nini? Unakimbilia kujisemea mambo ambayo una udhoefu nayo! Sio bure ulishaliwa mattako.

Jamaa ni mshari sana.
 
Duh.... thread ndo imefikia huku????

Afanaleki.....
 
Wewe ni kumma kwa sababu hata sielewi unataka nini. Wewe unataka niandike nini humu? Mie nimeandika experience, isitoshe nimesema wengi sio wote, wengi inaweza kuanza na 2 nakuendelea, Wewe unataka mama yako awepo kwenye kundi au unajua yupo? Mattako kweli wewe.

sasa povu la nn? Sio unatukana tu kama teja ww vp?
 
View attachment 171361 View attachment 171362 View attachment 171363 View attachment 171364
Wanawake walioolewa kutulizwa hamu zaidi kuliko mpango wa malipo kwa michepuko

View attachment 171370 View attachment 171366 View attachment 171372View attachment 171367
Wasichana wengi sex for money, na wengine shinikizo la kupata gari/nyumba

Katika nchi fulani halisi si ya kufikirika, nilikuwa na furaha kufahamiana na familia ya kitanzania. Binafsi nilielewa ni kama ndugu tu, lakini mke wake akawa na mazoea ya kunitania sana wakati inapotokea kukutana wakati mumewe hayupo, laini mume wake akiwepo yuko tofauti kabisa na anavyokuwa peke yake na mimi katika maongezi. Siku moja bila kutarajiwa nikakuta napigiwa simu kuwa yupo nje anakuja kunisalimia nimfungulie mlango. Nilishtuka kidogo kwa kuwa niko single kutembelewa na mke wa mtu. Kwa vile niliwazoea nikaona kama moyo mwema wa ujirani mwema tu umemtuma kunitaka khali.

Baada ya kumkaribisha ndani na kumwandalia kinywaji baridi na vitafunio vilivyokuwapo nikaona kama anakitu cha kuniambia lakini anapata shida namna ya kuanza huku akionekana kama mnyonge mwenye mapigo yaendayo kasi. Nguo alizovaa sikuzoea kuona anazivaa lakini zilikuwa na kila dalili ya kuonekana sex woman.

Nilisoma hali halisi lakini nikajikausha kama sielewi kitu na kuendelea na maongezi ya kawaida. Alipoona hakuna dalili basi akaaga kwenda maana muda wa kurudi mumewe toka kazini ulikuwa unakaribia. Nikamsindikiza hadi alipoondoka na kuangalia hadi gari yake ikipotea machoni mwangu nikifikiria kilichomleta hata bila kumwalika na wala hata kuniarifu kuwa anakuja kutembelea. Mbaya zaidi aliponiaga aliniambie nisimwambie mume wake kuwa alikuja kunitembelea. Hiyo niliona dalili mbaya yenye nia ambayo hakuwa mwazi kuniambia wazi.

Kwangu naona ni jambo lisilowezekana, lakini kuna ukweli kwamba wanawake wengi walioolewa wanajirahizisha zaidi na pengine bila gharama kupata michepuko kuliko wasichana wasioolewa ambao wanaonekana wasichana ni ghali, isipokuwa wasio na kazi ni full biashara kwa kwenda mbele.

Vijana wanaonekana kupenda dezo zaidi kwa hawa wanawake kwa vile hakuna gharama ya kununua penzi kama ilivyo kwa wasichana ambao gharama za kuwahamishia M-Pesa kwenye simu zao ni kubwa, shopping inawaliza, matumizi ya kawaida yanahangaisha, kubadilisha simu na vitu vingine ambavyo ni fasheni ya wasichana huwaumiza vijana, ndio maana wako tayari kuhusiana na wanawake ambao wana watoto wenye umri kama wao.

Jamani maadili muhimu, bora imani na mrejesho wa makubaliano ya awali katika ndoa kuliko mipapaso ya huko sirini yafanywayo kwa kuvizia mume wakati yupo kazini ndo mambao yaendeshwe.

Nani mwenye kushikwa tamaa ya ngono zaidi?
Asiye na kazi na kushinda nyumbani tu yupo katika hatari zaidi, maana uvivu hata misahafu ya biblia inasema ni adui wa roho. Wanawake wengi walioolewa na wanaume ambao wako busy sana na kazi na wanachoka sana na kazi ndio wapo katika kundi hili, pengine wanaume wanatakiwa ushirikishaji au kuwaanzishia shughuli za kiuchumi vinginevyo wanashinda wamekaa upenuni wakichungulia kila aina ya wanaume wanaopita na kuwaibulia hamu ya kuona nani angemtuliza mzuka.

Kujichosha ni dawa ya kutopata hamu ya ngono
Nilipokuwa nasoma shule, bahati nilipitia shule fulani ya kanisa, tulihimizwa sana michezo na kwamba mtu akishachoka anahitaji mapumziko lakini asiyechoka mwilini silika ya ngono huibuka na kusababisha kizazaa. Ndio maana siku hizi wanachuo wengi wanaonekana zaidi mitandaoni kwa vile hakuna shughuli zinazowachosha kama michezo na elimu ya kujitegemea kivitendo, hivyo silika ya kujamihiana inawaliza kila kukicha.

asante mkuuu
 
Mama yangu hana hiyo tabia,kwanza hayupo kwenye hilo kundi. Nimesema wengi sio wote. Unaonekana hata kuelewa kwako tu ni kazi. Jiulize kama mama yako yumo au lah.
bado nakuuliza hao wengi wewe umewafuatilia na kuja na msimamo wako? Unajuaje kama mama yako hayumo kwenye kundi hilo bali mama wa wenzio ndio wanaofanya?
Mimi mama yangu sikuwahi kumuona akifanya hayo unayoyasema,wewe ndio huelewi.
 
ndoa ni institution inayoongeza stress, vifo na magonjwa duniani

NDOA ni taasisi inayopunguza stress, vifo na magonjwa. Pasipo ndoa hakuna taifa, familia, serikali, dini. amri ya Mungu tuzae na kuongezeka na kutawala vyote. Miss chagga hivyo vimeo vichache kwa sample yako visikukatishe tama. Ndoa ni tamu aisee usiseme....Nakuonbea uwe na ndoa nzuri (heaven on earth)
 
Urahisi ni tabia ya mtu. haijalishi yupo kwenye ndoa ama la.
 
Hii inaonyesha mwandishi ana nyota ya UKIMWI,ndo maana anafuatwa sana
 
NDOA ni taasisi inayopunguza stress, vifo na magonjwa. Pasipo ndoa hakuna taifa, familia, serikali, dini. amri ya Mungu tuzae na kuongezeka na kutawala vyote. Miss chagga hivyo vimeo vichache kwa sample yako visikukatishe tama. Ndoa ni tamu aisee usiseme....Nakuonbea uwe na ndoa nzuri (heaven on earth)

Amina mkuu
 
Back
Top Bottom