Recent content by Prisoner 46664

  1. Prisoner 46664

    TRA Pwani wanarudisha nyuma juhudi za Rais Magufuli

    Walau tzs 690,000/- ninaamini..ni ngumu sana kwa mfanyabiashara wa kawaida kuimudu hii kwa haraka
  2. Prisoner 46664

    TRA Pwani wanarudisha nyuma juhudi za Rais Magufuli

    Mkuu sisi wote tunaunga mkono hili kwa sababu linasaidia sana kuongeza uwazi na utii kwenye kulipa kodi. Tatizo hapa ni namna ya utekelezaji wa mabadiliko haya. Ninadhani busara, elimu na “phasing” approach vinahitajika la sivyo kinachoathirika ni uchumi wetu..sidhani kama hii ndiyo njia sahihi...
  3. Prisoner 46664

    TRA Pwani wanarudisha nyuma juhudi za Rais Magufuli

    Wale walioko kwenye sekta za usafirishaji, uchimbaji wa malighafi ujenzi na ujenzi kwa ujumla watakuwa wamegundua kuwepo kwa uhaba wa ghafla wa mchanga unaotumika kujengea hivi Karibuni maeneo ya Dar na sehemu jirani. Kwa kipindi cha kama wiki moja hivi, TRA Pwani imekuwa ikikamata magari yote...
  4. Prisoner 46664

    Miguna Miguna alaani vikali kuondolewa Kenya, asema hajawahi kuukana uraia wa Kenya

    He has been fearlessly noisy in the recent past...guess he had this coming... Africa shall never be too dull to entertain.
  5. Prisoner 46664

    Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa(Taifa Stars) Charles Mkwassa abwaga manyanga

    Malinzi kwanini anaandika kiingereza? Halafu kwani by "mutual consent" manake ameacha kazi? si inaweza kuwa ameachishwa pia?
  6. Prisoner 46664

    Mzizima, Tanga: Watu 8 wauawa kwa kuchinjwa shingo na watu wasiojulikana

    Wakati mwingine unajiuliza kazi ya kodi zetu ni nini hasa.
  7. Prisoner 46664

    Wanawake wa Dar wanaongoza kwa kuvaa mawigi na vitambi

    Dah...hapa kwenye vitambi kuna ukweli. Kuna haja ya kinadada kubadilika kwa kweli.
  8. Prisoner 46664

    Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi wa jiji la Dar, Wilson Kabwe. Makonda amtuhumu kuongeza mkataba wa maegesho bila mchakato

    Pamoja na kuwa Makonda anaweza kuwa sahihi kwenye hili, ninaonelea ni vyema rais Magufuli akazuia kutumiwa kufanya maamuzi ya haraka namna hii huko mbele..kuna uwezekano mkubwa sana wa kuaibishwa huko mbele
  9. Prisoner 46664

    Huwa mnasema vibubu ushamba? poaaa!!!

    Hongera sana mkuu..ila ukianza tena uweke wekundu tu - hizi nyingine zinajaza nafasi buure!
  10. Prisoner 46664

    DR. Jakaya Kikwete, next UN Sec General?

    Dunia itakuwa imeishiwa rasilimali watu
  11. Prisoner 46664

    Makampuni ya Kenya yanavyokwepa kodi Tanzania

    Mkuu, kisheria wafanyakazi wote walio ndani ya Tanzania, wawe raia wa Tanzania ama sio, wanatakiwa kuwa na bank account hapa Tanzania na mishahara yao hutakiwa kulipwa kwenye hizo account. Ikiwa wanataka kusafirisha fedha hizo kwenda nje watafanya hivyo kwa utaratibu wa kawaida wa kuiridhisha...
  12. Prisoner 46664

    Makampuni ya Kenya yanavyokwepa kodi Tanzania

    Kibaya kuliko vyote hawa mabwana wamefanya hii kuwa ni kawaida kwao..kwa hivyo kila kampuni mpya inayotokea Kenya inakuja na kuanza huu ukwepaji kodi mara moja
  13. Prisoner 46664

    Makampuni ya Kenya yanavyokwepa kodi Tanzania

    Inasikitisha sana - jirani zetu wanajenga uchumi imara kwa kulalia migongo yetu
Back
Top Bottom