Wanawake wa Dar wanaongoza kwa kuvaa mawigi na vitambi

Sah,
Niko ktk daladala, nimechunguza wadada wanaopita nje kama 20, 15 wana vitambi na 8 wana mawigi.
 
Kwa anaeishi Dar atakubaliana nami, hebu hapo ulipo kama upo Dar geuka kushoto,kulia,nyuma, mbele, nipe hesabu ya wanawake waliovaa mawigi na wenye vitambi,

Source mimi mwenyewe niko manzese
Bia za ofa michemsho ya viporo na vibudu na mawigi ya kuazima
 
Wenyewe wanakwambia wanaangalia reception (face). Inapakwa make up hata chunusi na harara huzioni.
 
Back
Top Bottom