Hiyo vita na Rwanda ilikuja kuepushwa kwa Diplomasia ya Mumeo? Unajua chanzo cha mzozo ni kwa Jakaya kumtaka Kagame atumie diplomasia ya mazungumzo kwa kuwa kwa Vita zaid ya 20 years 1994-2004 Mafanikio ni kidogo sana dhidi ya Interahamwe.
Msubiri tufe ndio mje muandike historia ya Uongo!
Ulitaka aingize Mbwa bungeni,apige Marufuku Live coverage, apige marufuku Mikutano ya Kisiasa ndio ujue alikuwa Serious bila ya careless style of leadership!
Careless style ya Leadership angeweza kusambaratisha mbinu hila na hujuma zenu za uchaguzi?
Wewe ni mzungusha mikono ulioamini kuna Muujiza wa kufuta Umaskini wa karne zaid ya 20 kwa Siku 100!