Makampuni ya Kenya yanavyokwepa kodi Tanzania

Makampuni ya Kenya yanavyokwepa kodi Tanzania

Dah! Hata sielewi.Sasa mtu ni mkenya.Familia yake ipo kenya,kila kitu ni kenya hiyo hela itarudije huku ili iweze kukatwa kodi na kurudishwa kenya?

Mkuu, kisheria wafanyakazi wote walio ndani ya Tanzania, wawe raia wa Tanzania ama sio, wanatakiwa kuwa na bank account hapa Tanzania na mishahara yao hutakiwa kulipwa kwenye hizo account. Ikiwa wanataka kusafirisha fedha hizo kwenda nje watafanya hivyo kwa utaratibu wa kawaida wa kuiridhisha serikali (benki kuu) kuwa malipo hayo yana uhalali..

Kila mfanyakazi aliyeko Tanzania anatakiwa kulipa kodi ya mapato Tanzania.
 
Back
Top Bottom