Kwa wale wataalam wa IT hebu nielewesheni kuhusu sababu kubwa inayofanya kupotea kwa signal na hasa kwa hizi TV zinazotumia Satellite kama vile DSTV wakati huu wa mvua.Kinachotokea ni nini hasa kitaalam?Na je,tatizo hili halina solution?
This weather is appalling comrades!BBC,yesterday in its weather forecast programme,made it clear that today Tanzania would experience heavy rain and here it is.
Ulishawahi kwenda hospital kujieleza juu ya hiyo problem?Hebu ngoja waje wataalam watupe majibu ila mimi naona ingefaa sana kama ungewaona wataalam hospitalini.
Aisee hongera sana,ujenzi huwa ni mtihani sana wakati mwingine.Napenda kujua mkuu mbao na bati umevipata wapi ili na mimi niende huko maana mimi fundi wangu ananiambia kupaua tu,nikimaanisha mbao na bati niandae Sh 10million.Of course nyumba ina underground yenye vyumba viwili vya kulala kimoja...
Duh,kuna baadhi ya watu utadhani wanaishi dunia ya kwao.Wanayo macho lakini hawaoni,wanayo masikio lakini hawasikii na wanayo pua lakini hawanusi.Anyway,time will tell!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.