Msaada, ulimi wangu umechanika chanika

prince22

Senior Member
May 8, 2015
188
217
wakuu heshima kwenu, nina miaka 30 sasa, tatzo langu ni kuwa toka utotoni ulimi wangu una mipasuko haupo smooth kama kwa watu wengine! sipati maumivu yeyote, nilikuwa najiona kuwa ni kawaida tu na wala sikuwahi kwenda hospitali!! Je hili linaweza kuwa tatizo gani na tiba yake ni ipi?
Sun Apr 09 13-28-37.png Sun Apr 09 13-29-29.png Sun Apr 09 13-28-37.png
Sun Apr 09 13-28-37.png
 
Ulishawahi kwenda hospital kujieleza juu ya hiyo problem?Hebu ngoja waje wataalam watupe majibu ila mimi naona ingefaa sana kama ungewaona wataalam hospitalini.
 
Usijali mkuu hilo ni jambo la kawaida kabisa linaitwa "fissured tongue"a.k.a scrotal tongue ,na sometimes ulimi unaweza kuwa na vitu vyeupe(Geographic tongue)
Sio cancer wala sio ugonjwa wowote sababu zake wanasema ni genetic na hakuna dawa za kutibu kwahiyo utakaa nalo mpaka kufa kwako na hutapata matatizo yeyote mkuu.
Hii kitu haina maumivu yeyote na unaweza kula kitu chochote kama malimao na pilipili bila shida.

Unaweza kuangalia Google kwa maelezo zaidi
 
Labda wataalamu watasema zaidi lkn Mimi pia nina shida kama hiyo.
Nimeshakwenda hospitali na nilichoambiwa ni upungufu wa vitamin C.Nilipewa Dawa na kushauriwa kutumia matunda kama machungwa.
Yanasaidia lkn si kuunganisha bali kuuponya kwa kutouma
 
wakuu heshima kwenu, nina miaka 30 sasa, tatzo langu ni kuwa toka utotoni ulimi wangu una mipasuko haupo smooth kama kwa watu wengine! sipati maumivu yeyote, nilikuwa najiona kuwa ni kawaida tu na wala sikuwahi kwenda hospitali!! Je hili linaweza kuwa tatizo gani na tiba yake ni ipi?
HULI MBOGA ZA MAJANI ZA KUTOSHA.ANZA KULA MBOGA HIXO UTAONA TOFAUTI .NA ILI HALI HIYO IONDOKE KWA HARAKA ASUBUHI KUNYWA JUISI YA SPINACH,NUSU SAA KABLA YA CHAKULA KUNYWA JUISI YA LIMAO HUKU UKILA MBOGAMBOGA KATIKA KILA MLO WAKO
 
Back
Top Bottom