Sitaki THAAD zenu hapo: China ya foka!

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
24,740
24,790
Beijing imezitaka Seol na Washington kuacha mara moja kusimika mitambo ya THAAD hapo Korea kusini.
=========
Beijing has called for an immediate stop to the deployment of the US Terminal High Altitude Area Defense (THAAD) anti-missile system to South Korea and is ready to protect its interests, according to the Chinese Foreign Ministry.
China demands ‘immediate’ halt to THAAD deployment in South Korea
 
Mkuu Sana!


Mimi binafsi nimekuwa nikifatilia na kuegemea upande wa Korea Kaskazini.

Taarifa hii inakuwa nzuri kwangu sababu najua mmarekani atakomaa na akikomaa ndio anazidi kunipa nguvu kumbutuwa nikiwa ( Korea Kaskazini) nikiwa na washirika wangu .
 
Angela ana anakutana na wakuu wa nchi zote za G20 kabla ya kikao cha G20. Hakuna dots za kuconect. Uko missinformed
Si mpaka uzione dots zenyewe ndiyo ukoconnet! Kama haujaziona huwezi kuuunganisha chochote.
=======
Twendelee Mkuu. Vipi ulichukuliaje hili tamko la China?
 
Safi Sana mkuu, halafu China ana nini cha kuitisha Marekani?
Ni Vita gani mchina amewahi kupigana kiasi cha kumpatia uzoefu wa Vita?
Marekani itabakia kuwa Marekani tu hata iweje.
Acha upuuzi wewe yaani mbongo ndo useme China ana nini,kama hujui China inanguvu sana na ushawishi pake Asian peninsula kuliko unavyofikiri wewe
 
Acha upuuzi wewe yaani mbongo ndo useme China ana nini,kama hujui China inanguvu sana na ushawishi pake Asian peninsula kuliko unavyofikiri wewe
Lakini hana nguvu au ushawishi wa kuizidi USA!! Kwenye peninsula hiyo na ndio maana hata china anapoanza vurugu za kugombea vile visiwa na japan mtetezi huwa anakuwa USA, la licha ya vitisho vya mchina kwenye visiwa hivyo lakini marekani huwa anazungusha ndege zake. Pasipi wasiwasi!! Hata umchukie USA bado ukweli utabaki pale pale kuwa ndio mbambe wa dunia kwa sasa.
 
Back
Top Bottom